Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa..angalau tunajua umeamka huko ufipa..
Wamelogwa sio kwamba wanapenda ile ule mwenge unawainamisha wasihoji chochoteLabda sio Tanzania..watanzania wengi ni waoga na wanafiki sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamelogwa sio kwamba wanapenda ile ule mwenge unawainamisha wasihoji chochote
Kuminya demokrasia, Polisi wa CCM, wakurugenzi wa CCM, NEC ya CCM kupora ushindi kwa wapinzani, kuwadharau wapiga kura ambao huchagua chaguo lao vizuri kisha Polisi na tume kuwaporaHii ni kutokana kwa kuchezea hela za walipa kodi hovyo hovyo . Pia uwezo wake mdogo wa kiutawala. Pia chuki wivu husda majigambo nyodo. Pia kugawanya watanzania kikanda na kikabila. Pia wizi wa matrillioni. Pia kuudondosha uchumi maksudi nakufanya hali ya watanzsnia wengi kuwa ya ufukara ilhali yeye na genge lake wachache wakifaidi keki ya taifa. Pia kunyanganya mke wa mtu
ISIS johnthebaptist thetallest
2020 JPM tena....
Mi ni electrical engineer usilete ubishi wa ki ccm tumejenga madaraja baharini usiku, tunachimba mafuta bahari na gesi usiku kama hujui omba uelimishweUna akili kama jemedari wako mbowe. Unadhani zilitakiwa tochi uzijuazo wewe kumulika.
Le mutuz si uache watu watoe ya moyoni? vp huko kwa mganga wa kienyeji bado hajamaliza kukupa ndumba?Mnachokitafuta mtakipata.
Kumbe we naye fyatu........Kwa maoni yangu na matwakwa yangu ambayo kila Siku namwomba Mwenyezi Mungu ayakubali ni kwamba Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli aiongoze Tanzania hata kwa miaka 50 ijayo kwani namkubali, nina uhakika nae na namuamini kwa 100% kuwa ndiye Rais ambaye Tanzania ya sasa tulikuwa tunamtaka na kumlilia siku nyingi ukiachia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Burito Kambarage Nyerere.
Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Nani kakuuliza huu uharo unaoutoa hapa?Mi ni electrical engineer usilete ubishi wa ki ccm tumejenga madaraja baharini usiku, tunachimba mafuta bahari na gesi usiku kama hujui omba uelimishwe
Aisee huwa situmii uharo bwabwa wewe.Le mutuz si uache watu watoe ya moyoni? vp huko kwa mganga wa kienyeji bado hajamaliza kukupa ndumba?