Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Madalali wa siasa huko CCM wanatafuna pesa ndefu kwa kazi isiyo na Tija kwa Taifa, ununuzi wa wapinzani ili kudhoofisha chadema na kuua upinzani ni Ufisadi hatari ni aina Fulani ya matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, pesa inayotumika kurejesha mfumo wa chama kimoja ikielekezwa kwenye maendeleo nina hakika Tanganyika itakuwa Nchi tajiri barani AFRICA kuliko hata South Africa.
 
Kwa uwezo wa tume ya uchaguzi 2020 Baba Jesica anapita kwa 100%. Akifika mjengoni 3/4 watakuwa wabunge wa CCM hapo anabadilisha katiba term itakuwa 10 years.
 
FB_IMG_1537286955500.jpg
 
Hii ni kutokana kwa kuchezea hela za walipa kodi hovyo hovyo . Pia uwezo wake mdogo wa kiutawala. Pia chuki wivu husda majigambo nyodo. Pia kugawanya watanzania kikanda na kikabila. Pia wizi wa matrillioni. Pia kuudondosha uchumi maksudi nakufanya hali ya watanzsnia wengi kuwa ya ufukara ilhali yeye na genge lake wachache wakifaidi keki ya taifa. Pia kunyanganya mke wa mtu

ISIS johnthebaptist thetallest
Mkuu leo vyombo vya kuosha vimeisha..
 
Kwamba toka uwepo madarakani kwa kipindi kifupi, chaguzi zimelila taifa zaidi ya shilingi bilioni 80.

Leo nasikia utatoa shilingi 500,000/ kwa kila marehemu wa msiba wa Mv nyerere.

Nakuuliza tu, fedha zote hizo zingenunua vivuko vingapi nchi hii?
Embu fikiri leo ninani asingekubariki kila kona kwa jambo hili lenye msaada kwa maskini wa nchi hii na sio matumbo ya wanasiasa?

Tujisahihishe.
 
Hii ni kutokana kwa kuchezea hela za walipa kodi hovyo hovyo . Pia uwezo wake mdogo wa kiutawala. Pia chuki wivu husda majigambo nyodo. Pia kugawanya watanzania kikanda na kikabila. Pia wizi wa matrillioni. Pia kuudondosha uchumi maksudi nakufanya hali ya watanzsnia wengi kuwa ya ufukara ilhali yeye na genge lake wachache wakifaidi keki ya taifa. Pia kunyanganya mke wa mtu

ISIS johnthebaptist thetallest
Bange mbaya sana
 
Mmeshikwa pabaya mpaka mnakosa jambo la maana la kuongelea .Msiompenda Magufuli ni CHADEMA tena kutoka eneo moja la nchi .Mliyokuwa mmedhamiria kuhusu kuihujumu nchi kwa sasa yote yamekwama. Kilichobaki kwenu sasa ni kutunga habari na kudandia matukio kama haya ya kuzama kwa kivuko.Jiulizeni hata wale matajiri zenu waliowaahidi kuwaunga mkono wote wameyeyuka,wameona goma ni zito.Wananchi wa Tanzania hawashawushiki na upuuzi kama huu.Nawapenda vilevile watanzania kwani kwenye kampeni zenu wanakuja na kuwashangilia vilivyo,kama wanavyomshangilia mlevi akicheza mtaani, kisha kwenye uchaguzi wanawapiga chini .
 
Hii ni kutokana kwa kuchezea hela za walipa kodi hovyo hovyo . Pia uwezo wake mdogo wa kiutawala. Pia chuki wivu husda majigambo nyodo. Pia kugawanya watanzania kikanda na kikabila. Pia wizi wa matrillioni. Pia kuudondosha uchumi maksudi nakufanya hali ya watanzsnia wengi kuwa ya ufukara ilhali yeye na genge lake wachache wakifaidi keki ya taifa. Pia kunyanganya mke wa mtu

ISIS johnthebaptist thetallest
ukiitwa utaeleza kwa ushahidi hayo matrilion...make naona umejitoa sadaka bila kujua kuna sheria za mitandaoni
 
Kwa maoni yangu na matwakwa yangu ambayo kila Siku namwomba Mwenyezi Mungu ayakubali ni kwamba Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli aiongoze Tanzania hata kwa miaka 50 ijayo kwani namkubali, nina uhakika nae na namuamini kwa 100% kuwa ndiye Rais ambaye Tanzania ya sasa tulikuwa tunamtaka na kumlilia siku nyingi ukiachia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Burito Kambarage Nyerere.
anaweza kukuoa tu mfunge pingu za hiyo miaka 50 kwangu hata siku 50 simhitaji
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom