kura zenyewe za kumpa kipindi kimoja mnazo?Muhula mmoja tu umemtosha apumzike.
Yatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kura zenyewe za kumpa kipindi kimoja mnazo?Muhula mmoja tu umemtosha apumzike.
Yatosha
yes ni kichaa wa kaziAlisema yeye ni kichaa
Huna akili
Hizi ni akili za NgamiaKwa maoni yangu na matwakwa yangu ambayo kila Siku namwomba Mwenyezi Mungu ayakubali ni kwamba Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli aiongoze Tanzania hata kwa miaka 50 ijayo kwani namkubali, nina uhakika nae na namuamini kwa 100% kuwa ndiye Rais ambaye Tanzania ya sasa tulikuwa tunamtaka na kumlilia siku nyingi ukiachia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Burito Kambarage Nyerere.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
NI JIZI TUU TOKA 1995 NI KUIBA. TENA LINAIBA BILA AIBU.ukiitwa utaeleza kwa ushahidi hayo matrilion...make naona umejitoa sadaka bila kujua kuna sheria za mitandaoni
nimefatilia humu madudu unayoandka humu, bora nikupuuze...NI JIZI TUU TOKA 1995 NI KUIBA. TENA LINAIBA BILA AIBU.
USHAIDI MAFIII YAKO?
MBUSII WEWEE
wezi nyinyi yani jamaa halina aibu na adabu utazan ni zezeta hata yanayotoka kinywani mwake. He steal our money unashamedly with impunity.nimefatilia humu madudu unayoandka humu, bora nikupuuze...
Jibu zuri mno, tunatumaini mleta thread atafuatilia hayo majibu..Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome > Tukumbushane ahadi za Magufuli
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia > PDF: Ilani ya chama cha mapinduzi 2015-2020
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..