Mwinyi ameingia madarakan mwaka gani vile!!?..hujui unachokiongea
kwa hiyo bado ujajua tunakoelekeaMwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
nahisi kanywa ulanzi huyuYeye mwenyewe hajui anapotoka wala anapokwenda ,sisi ndio atajua pa kutupeleka labda shimoni amebakiza kutufukia tu .
tuzo ipi unayozungumza wewe!Moderator kama mnaweza kutoa tuzo kwa mwandishi wa uzi huu toeni tu , huyu mleta uzi huu anastahili tuzo
unataka kumpa mtu tuzo ata ajui anakoelekea 😁 😁 😁 😁 😁Moderator kama mnaweza kutoa tuzo kwa mwandishi wa uzi huu toeni tu , huyu mleta uzi huu anastahili tuzo
unataka kumpa mtu tuzo ata ajui anakoelekea 😁 😁 😁 😁 😁
--watoto elimu bureunataka kumpa mtu tuzo ata ajui anakoelekea 😁 😁 😁 😁 😁
Anatupeleka kwenye UCHUMI WA KATI WA VIWANDA! Sasa huelewi nini? ULIZA USICHOELWA ingaw umesha fanya uamuzi mawazoni mwako kuwa "unaona kama tumepotea". Kukurudisha kwenye mtizamo salama itachukua kazi kubwa!Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Kwa kutumia mbinu gani?Anatupeleka kwenye UCHUMI WA KATI WA VIWANDA!
Mbinu za kisasa za kujenga uchumi wa kati kwa kuhamasisha uwezekaji kwa wawekezaji wa nje na ndani na kuweka conducive and friendly investment scenarios ikiwa ni pamoja na good regulatory conditions to allow for a WIN WIN SITUATIONS.Kwa kutumia mbinu gani?
Hizo "Conducive scenarios" na "good regulatory" ziko kwenye eneo gani na "Win-Win situation" ipo kwenye mkataba gani unaoujua wewe?conducive and friendly investment scenarios ikiwa ni pamoja na good regulatory conditions to allow for a WIN WIN SITUATIONS.
Unauliza maswali tu bila kutoa hoja ILI IWEJE!? Au hujui hizo conducive scenarios na good regulatory conditions kuwa ndio msingi wa kuvutia wawekezaji wa nje na ndani? Na hizo nilizotaja ndio mbinu sahihi za kutufikisha kwenye maendeleo sahihi ya viwanda, ambayo wewe unasema tumepotea! Sema wewe mbinu nyingine basi za kuturudisha kwenye njia sahihi badala ya hii unayosema "tumepotea", ndugo Kilewella, verified user.Hizo "Conducive scenarios" na "good regulatory" ziko kwenye eneo gani na "Win-Win situation" ipo kwenye mkataba gani unaoujua wewe?
Kwa ivo kama mimi ni "Verified User"?Sema wewe mbinu nyingine basi za kuturudisha kwenye njia sahihi badala ya hii unayosema "tumepotea", ndugo Kilewella, verified user.
KILA JAMBO LINA WAKATI WAKE AKUNA RAISI WA BAHATI MBAYA ALIYE NA ATAKAYE KUJA KUSHIKA DOLA, TUMPE MDA NA KILA NYAKATI TUJIFUNZE NA KUFUATILIA KWA KINA ANACHOFANYA NA KUTOA USHAURI FASAHA USIO UMIZA KWA MAMLAKA, RAISI MAGUFULI HANA USIASA WA PROPAGANDA SANA (POROJO) NA KILA MTU ANAFAHAMU NI MTENDAJI KWAHIYO ANAKWENDA KWA UMAKINI NA MAAMUZI YAKE NDIO MAANA ANA TENGUA NAFASI FULANI NA KUREKEBISHA PALE PENYE KASORO FULANI, HUKU KUKIWA NA KASUMBA YA AINA YAKE KUWEZA KUOKEA LAKINI NI KWA MASLAHI YA NCHI KWANZA. I TRUST OUR GOVERNMENTMwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
HAAHAHA AISEE KAMA UKUPATA HIZO LEASURES DURU ILE ITABIDI UWE MPOLE TU KWA SASA, AFTERALL BADO MIAKA KADHAA TUTAINGIA KWENYE UTAWALA WA DOLA MPYA BADO UTAAMSHA HOJA NYINGINE..Aturudishe Kule tulikotoka. Wizi bandarini. Biashari bila Kodi. Kuchelewa kazini. Kuandika resiti za uongo kupata pesa za kunywa pombe za Kila siku. Hadi ndio Manisha. Sio hivi sasa uwezi kupata pesa za bwelela. Huko anakotuleka siko kabisa. Pesa mpaka usotee. Shule kwa Sana.
KWA MTAZAMO WANGU NAONA WATANZANIA TANGU AWAMU ZA NYUMA JAPO ILIKUWA KIASI KWA SASA TUMEZIDI KUONGEZA KASI YA KUTOKUJIELEWA VYEMA PINDI TUKIWA TUNAHITAJI KUHOJI NA KUKOSOA:Nchi haiendeshwi kwa matakea ya rais ndiyo maana kuna miongozo kama ilani, mipango ya muda mrefu na mfupi, katiba, sheria, miongozo na nyaraka mbali mbali. Wananchi ni haki yetu kuhoji, kukosoa, kushauri na kulalamika kama mambo hayaendi vizuri. Tatizo linakuja pale anayehoji au kukosoa anapoonekana adui. Tabia hii siyo nzuri na haiwezi kutupeleka popote kama taifa
HAHA MIMI NAHISI WATANZANIA WAKISIKIA SWALA LA UCHANYA WANAONA SHIDA SANA KUTOA MAMBO MENGI YA MUHIMU ILA UPANDE WA UHASI NDIO BHALAA KABISAA YANI UTALEMEWA NA KEBEHI AU MCHANGO MKUBWA WA MANENO KULIKO KAWAIDA.Watanzania tuna akili fupi sana ndo maana hatusonge mbele kama taifa na mtu mmoja mmoja, maada ni nzuri inawweza kutusaidia kuibua njia mpya za kumsaidia rais kama ushauri, mtoa mada hana nia mbaya na rais bali anajaribu kutushirikisha tuangalie mwelekeo wa sisi kama taifa, kwa hiyo tuache kumkebehi tuchangie mada kwa mtazamo chanya kwa kutoa michango na ushauri wa kujenga taifa.
NOTED.Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome > Tukumbushane ahadi za Magufuli
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia > [URL='https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=306026&d=1447665705']PDF: Ilani ya chama cha mapinduzi 2015-2020[/URL]
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..
SERIKALI IMEENZA KWANZA NA MIUNDOMBINU MBALIMBALI KUONGEZA KASI KATIKA SEKTA HUSIKA PAMOJA NA UHITAJI WA UMEME MKUBWA ZAIDI. SWALA LINALOHUSU VIWANDA KWA WAKATI HUU NI MTAYARISHO WA KUWA STABILITY HAPO BAADAE, ILA KWA VIWANDA VYA STANDARD YA KAWAIDA NA KATI VINAVYOWEZA KUHIMILI MAHITAJI YA SASA VINA NAFASI YA KUANZISHWA NA VILIVYO KUWEPO KUENDELEA NA UZALISHAJI KAMA KAWAIDA, ILA VIKUBWA ZAIDI NI PALE TUKIWA NA UMEME WA KUAMINIKA NDIO MAANA PROJECT YA RUFIJI IKO ON THE WAY. KWAHIYO UMEME KWANZA JAPO VIWANDA VIPO ILA KWA VIWANDA VINGI HAPO BAADAE NDIO KUTANOGA ZAIDI.Hatujui kwamba ataanza kuboresha kwanza umeme ndo afwate viwanda..
Au aanze viwanda kwanza ndo afwate umeme...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hii ndo Bongoland