Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kaka respect wa boda alisema kweli nimelichukia hili jamaa mpk nimeliongezea miaka badala ya 24 nikaweka 34.
Ni misconceptions tu mkuu.
Mwinyi ameingia madarakan mwaka gani vile!!?..hujui unachokiongea
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.

Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.

Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.

Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.

Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?

Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.

Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
kwa hiyo bado ujajua tunakoelekea

soma apa

Anatupeleka kwenye UCHUMI WA KATI WA VIWANDA! Sasa huelewi nini? ULIZA USICHOELWA ingaw umesha fanya uamuzi mawazoni mwako kuwa "unaona kama tumepotea". Kukurudisha kwenye mtizamo salama itachukua kazi kubwa!
 
Kwa kutumia mbinu gani?
Mbinu za kisasa za kujenga uchumi wa kati kwa kuhamasisha uwezekaji kwa wawekezaji wa nje na ndani na kuweka conducive and friendly investment scenarios ikiwa ni pamoja na good regulatory conditions to allow for a WIN WIN SITUATIONS.
 
Hizo "Conducive scenarios" na "good regulatory" ziko kwenye eneo gani na "Win-Win situation" ipo kwenye mkataba gani unaoujua wewe?
Unauliza maswali tu bila kutoa hoja ILI IWEJE!? Au hujui hizo conducive scenarios na good regulatory conditions kuwa ndio msingi wa kuvutia wawekezaji wa nje na ndani? Na hizo nilizotaja ndio mbinu sahihi za kutufikisha kwenye maendeleo sahihi ya viwanda, ambayo wewe unasema tumepotea! Sema wewe mbinu nyingine basi za kuturudisha kwenye njia sahihi badala ya hii unayosema "tumepotea", ndugo Kilewella, verified user.
 
Sema wewe mbinu nyingine basi za kuturudisha kwenye njia sahihi badala ya hii unayosema "tumepotea", ndugo Kilewella, verified user.
Kwa ivo kama mimi ni "Verified User"?

Wapi nimesema kama tumepotea? Mimi nataka kuja hayo uliyoyasema ni mazingira rafiki ya kuwekeza na sheria na kanuni zilizobadilishwa kuleta faida kwa pande mbili yanafanyika kwenye sekta ipi hasa?

Kama hakuna uwazi kwenye kuendesha serikali hayo mengine uliyoyasema yanakuwa hayapo tena. Kinyume cha hapo kila kitu ni mazingaombwe ya kisiasa tu!!
 
Aturudishe Kule tulikotoka. Wizi bandarini. Biashari bila Kodi. Kuchelewa kazini. Kuandika resiti za uongo kupata pesa za kunywa pombe za Kila siku. Hadi ndio Manisha. Sio hivi sasa uwezi kupata pesa za bwelela. Huko anakotuleka siko kabisa. Pesa mpaka usotee. Shule kwa Sana.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.

Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.

Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.

Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.

Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?

Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.

Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
KILA JAMBO LINA WAKATI WAKE AKUNA RAISI WA BAHATI MBAYA ALIYE NA ATAKAYE KUJA KUSHIKA DOLA, TUMPE MDA NA KILA NYAKATI TUJIFUNZE NA KUFUATILIA KWA KINA ANACHOFANYA NA KUTOA USHAURI FASAHA USIO UMIZA KWA MAMLAKA, RAISI MAGUFULI HANA USIASA WA PROPAGANDA SANA (POROJO) NA KILA MTU ANAFAHAMU NI MTENDAJI KWAHIYO ANAKWENDA KWA UMAKINI NA MAAMUZI YAKE NDIO MAANA ANA TENGUA NAFASI FULANI NA KUREKEBISHA PALE PENYE KASORO FULANI, HUKU KUKIWA NA KASUMBA YA AINA YAKE KUWEZA KUOKEA LAKINI NI KWA MASLAHI YA NCHI KWANZA. I TRUST OUR GOVERNMENT
 
Aturudishe Kule tulikotoka. Wizi bandarini. Biashari bila Kodi. Kuchelewa kazini. Kuandika resiti za uongo kupata pesa za kunywa pombe za Kila siku. Hadi ndio Manisha. Sio hivi sasa uwezi kupata pesa za bwelela. Huko anakotuleka siko kabisa. Pesa mpaka usotee. Shule kwa Sana.
HAAHAHA AISEE KAMA UKUPATA HIZO LEASURES DURU ILE ITABIDI UWE MPOLE TU KWA SASA, AFTERALL BADO MIAKA KADHAA TUTAINGIA KWENYE UTAWALA WA DOLA MPYA BADO UTAAMSHA HOJA NYINGINE..
 
Nchi haiendeshwi kwa matakea ya rais ndiyo maana kuna miongozo kama ilani, mipango ya muda mrefu na mfupi, katiba, sheria, miongozo na nyaraka mbali mbali. Wananchi ni haki yetu kuhoji, kukosoa, kushauri na kulalamika kama mambo hayaendi vizuri. Tatizo linakuja pale anayehoji au kukosoa anapoonekana adui. Tabia hii siyo nzuri na haiwezi kutupeleka popote kama taifa
KWA MTAZAMO WANGU NAONA WATANZANIA TANGU AWAMU ZA NYUMA JAPO ILIKUWA KIASI KWA SASA TUMEZIDI KUONGEZA KASI YA KUTOKUJIELEWA VYEMA PINDI TUKIWA TUNAHITAJI KUHOJI NA KUKOSOA:

FIRSTLY KIMAWAZO NI KUWA UMEWAZA NINI

SECONDLY ULICHOWAZA KITATATUA NINI NA KUWA NA MASLAHI YA NCHI NA KUTOVURUGA UHUSIANO WA NJE.

THIRDLY NI TONE IPI YA KUTOA UJUMBE WAKO MAANA KISWAHILI KINA MANENO/MISAMIATI MIKALI SANA ILI KUTO KUKWAZA UPANDE MWINGINE.

FOURTHLY UNATAMBUA PIA NI WAJIBU GANI ULIONAO NA MCHANGO WAKO KWA MAWAZO YAKO ULIYOCHANGIA KWENYE JAMII YAKO.

FIFTHLY USIJITOE UFAHAMU KWANI UPO KATIKA TAIFA LENYE UTARIBU, MAADILI, TAMADUNI NA DESTURI ZA KIPEKEE NAHISI MWISHO UTAKUWA SALAMA KUONGEA/KUSHAURI/KUKOSOA/KUREKEBISHA NK KWA JINSI UNAVYOONA. TANZANIA NI NCHI HURU ILA UHURU UNA MIPAKA.
 
Watanzania tuna akili fupi sana ndo maana hatusonge mbele kama taifa na mtu mmoja mmoja, maada ni nzuri inawweza kutusaidia kuibua njia mpya za kumsaidia rais kama ushauri, mtoa mada hana nia mbaya na rais bali anajaribu kutushirikisha tuangalie mwelekeo wa sisi kama taifa, kwa hiyo tuache kumkebehi tuchangie mada kwa mtazamo chanya kwa kutoa michango na ushauri wa kujenga taifa.
HAHA MIMI NAHISI WATANZANIA WAKISIKIA SWALA LA UCHANYA WANAONA SHIDA SANA KUTOA MAMBO MENGI YA MUHIMU ILA UPANDE WA UHASI NDIO BHALAA KABISAA YANI UTALEMEWA NA KEBEHI AU MCHANGO MKUBWA WA MANENO KULIKO KAWAIDA.
 
Hatujui kwamba ataanza kuboresha kwanza umeme ndo afwate viwanda..

Au aanze viwanda kwanza ndo afwate umeme...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hii ndo Bongoland
SERIKALI IMEENZA KWANZA NA MIUNDOMBINU MBALIMBALI KUONGEZA KASI KATIKA SEKTA HUSIKA PAMOJA NA UHITAJI WA UMEME MKUBWA ZAIDI. SWALA LINALOHUSU VIWANDA KWA WAKATI HUU NI MTAYARISHO WA KUWA STABILITY HAPO BAADAE, ILA KWA VIWANDA VYA STANDARD YA KAWAIDA NA KATI VINAVYOWEZA KUHIMILI MAHITAJI YA SASA VINA NAFASI YA KUANZISHWA NA VILIVYO KUWEPO KUENDELEA NA UZALISHAJI KAMA KAWAIDA, ILA VIKUBWA ZAIDI NI PALE TUKIWA NA UMEME WA KUAMINIKA NDIO MAANA PROJECT YA RUFIJI IKO ON THE WAY. KWAHIYO UMEME KWANZA JAPO VIWANDA VIPO ILA KWA VIWANDA VINGI HAPO BAADAE NDIO KUTANOGA ZAIDI.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom