The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
wakuu natoa ushuhuda wa kweli kabisa nchi hii kwa sasa asilias 70 ya watu wana stress kupitiliza.watu wanaongea peke yao barabarani.kazi hakuna vijana wanaishia kubet kuna ongezeko kubwa la wacheza kamari wapya ambao wana matumaini 500 zao zinaweza kuzaa mamilioni.hali inatisha vijana wanachizika na kuzeeka mapema.umalaya kimya kimya pesa zinatafutwa kwa njia haramu.watoto wadogo wanajiingiza mpaka kwenye biashara za kuuza bangi.nchi inateketea kimya kimya kwenye level ya chini kabisa na hakuna juhudi za kuyazungumzia mambo haya kwa uwazi.walionacho wamepata wasio kuwa nacho hawapati tena.huku juu mnachekelea maendeleo ya flyover na reli wakati huku chini watoto wanazidi kuwa watukutu kwa kutenda mambo mabaya na tatizo kubwa ni umaskini,ukosefu wa hela,ukosefu wa mahitaji ya muhimu,kufeli kwa ndoto na malengo.msije kusema sikuwatahadharisha
Kiazi weweStress zako peleka sober
Uzi unaishi mchele kule pumba kule.
Aisee mpaka na wewe umeona nchi anaipeleka shimoni, tena kabulini Afadhali hata ya Zimbabwe Bipolar disorder ugonjwa mbaya sana.wakuu natoa ushuhuda wa kweli kabisa nchi hii kwa sasa asilias 70 ya watu wana stress kupitiliza.watu wanaongea peke yao barabarani.kazi hakuna vijana wanaishia kubet kuna ongezeko kubwa la wacheza kamari wapya ambao wana matumaini 500 zao zinaweza kuzaa mamilioni.hali inatisha vijana wanachizika na kuzeeka mapema.umalaya kimya kimya pesa zinatafutwa kwa njia haramu.watoto wadogo wanajiingiza mpaka kwenye biashara za kuuza bangi.nchi inateketea kimya kimya kwenye level ya chini kabisa na hakuna juhudi za kuyazungumzia mambo haya kwa uwazi.walionacho wamepata wasio kuwa nacho hawapati tena.huku juu mnachekelea maendeleo ya flyover na reli wakati huku chini watoto wanazidi kuwa watukutu kwa kutenda mambo mabaya na tatizo kubwa ni umaskini,ukosefu wa hela,ukosefu wa mahitaji ya muhimu,kufeli kwa ndoto na malengo.msije kusema sikuwatahadharisha
Mtu mmoja alisema, "Good intentions don't always translate to good results"Binafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
Nayo ni kumpiga nduli Amin. Nia tunayo,sababu tunayo na nguvu tunayo.Hatukujua kama.atageuka ghafla na kuwa dikteta sasa tunayo kazi moja tu
LET'S NOW WAKE UP AND TAKE ACTION
Kama unaona kuna shida ni wewe,sisi tunaona Magufuli is the best President ever.Infact he is our dream President.Kama wewe hupendi Magufulization it's simple,hama nchi.Magufulization is here to stay.Mbona nchi ilipokuwa inafujwa kwenye awamu ya tatu na nne hamkusema?Sasa tumepata Rais anayejali taifa lake na kufanya mambo ya msingi,mnapiga makelele,viumbe wa ajabu sana ninyi.Katiba inavunjwa... Tupo kimya!
Bunge halina tena makali... Tupo kimya!
Mahakama inaingiliwa... Tupo kimya!
Viongozi wanatoa kauli zinazokinzana kwenye suala linalofanana... Tupo kimya!
Watu wanauawa... Tupo kimya!
Watu wanatekwa... Tupo kimya!
Magerezani kama sokoni... Tupo kimya!
Watumishi,wafanyabiashara, wakulima, wastaafu, wahitimu na wananchi kwa ujumla wanalia... Wapo kimya!
JE, TUTAAMKA LINI??? TUTOKE NYUMA YA keyboard! MAKELELE MITANDAONI HAYATASAIDIA!
LET'S NOW WAKE UP AND TAKE ACTION!
This is what kills us!Show an example on how to tie the bell on the cat.🐱
Mahakama,bunge,katiba hivi vitu havijawahi kuwa na faida yoyote!Katiba inavunjwa... Tupo kimya!
Bunge halina tena makali... Tupo kimya!
Mahakama inaingiliwa... Tupo kimya!
Viongozi wanatoa kauli zinazokinzana kwenye suala linalofanana... Tupo kimya!
Watu wanauawa... Tupo kimya!
Watu wanatekwa... Tupo kimya!
Magerezani kama sokoni... Tupo kimya!
Watumishi,wafanyabiashara, wakulima, wastaafu, wahitimu na wananchi kwa ujumla wanalia... Wapo kimya!
JE, TUTAAMKA LINI??? TUTOKE NYUMA YA keyboard! MAKELELE MITANDAONI HAYATASAIDIA!
LET'S NOW WAKE UP AND TAKE ACTION!