Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
wakuu natoa ushuhuda wa kweli kabisa nchi hii kwa sasa asilias 70 ya watu wana stress kupitiliza.watu wanaongea peke yao barabarani.kazi hakuna vijana wanaishia kubet kuna ongezeko kubwa la wacheza kamari wapya ambao wana matumaini 500 zao zinaweza kuzaa mamilioni.hali inatisha vijana wanachizika na kuzeeka mapema.umalaya kimya kimya pesa zinatafutwa kwa njia haramu.watoto wadogo wanajiingiza mpaka kwenye biashara za kuuza bangi.nchi inateketea kimya kimya kwenye level ya chini kabisa na hakuna juhudi za kuyazungumzia mambo haya kwa uwazi.walionacho wamepata wasio kuwa nacho hawapati tena.huku juu mnachekelea maendeleo ya flyover na reli wakati huku chini watoto wanazidi kuwa watukutu kwa kutenda mambo mabaya na tatizo kubwa ni umaskini,ukosefu wa hela,ukosefu wa mahitaji ya muhimu,kufeli kwa ndoto na malengo.msije kusema sikuwatahadharisha

Hadi Ndege John naye amemgundua kipenzi chake anatupeleka shimoni! Yaani anawaza kununua tu ndege wakati huduma za msingi kama elimu na afya zinasuasua;

Ajira kwa vijana hakuna, hali ya maisha kwa ujumla mtaani haieleweki, wafanyakazi hawapandishwi madaraja yao kwa wakati, hakuna nyongeza ya mshahara kwa miaka minne sasa, nk.
 
wakuu natoa ushuhuda wa kweli kabisa nchi hii kwa sasa asilias 70 ya watu wana stress kupitiliza.watu wanaongea peke yao barabarani.kazi hakuna vijana wanaishia kubet kuna ongezeko kubwa la wacheza kamari wapya ambao wana matumaini 500 zao zinaweza kuzaa mamilioni.hali inatisha vijana wanachizika na kuzeeka mapema.umalaya kimya kimya pesa zinatafutwa kwa njia haramu.watoto wadogo wanajiingiza mpaka kwenye biashara za kuuza bangi.nchi inateketea kimya kimya kwenye level ya chini kabisa na hakuna juhudi za kuyazungumzia mambo haya kwa uwazi.walionacho wamepata wasio kuwa nacho hawapati tena.huku juu mnachekelea maendeleo ya flyover na reli wakati huku chini watoto wanazidi kuwa watukutu kwa kutenda mambo mabaya na tatizo kubwa ni umaskini,ukosefu wa hela,ukosefu wa mahitaji ya muhimu,kufeli kwa ndoto na malengo.msije kusema sikuwatahadharisha
Aisee mpaka na wewe umeona nchi anaipeleka shimoni, tena kabulini Afadhali hata ya Zimbabwe Bipolar disorder ugonjwa mbaya sana.
 
Yeye mwenyewe hajui anapotupeleka hata kwa kuskiliza tu jinsi anavyoongea hilo linajionesha.

Hana hakika na mpangilio wa vipaumbele vyake kama ni sahihi.

Hana hakika kama sera zake zitatimiza lengo kuu ambalo ni kufikia hiyo Tanzania ya viwanda.

Hana hakika kama wanaomsaidia kutekeleza hzo sera zake ni watu sahihi ndio maana kila leo haishi kuwatumbua na kuwateua.

Hana hakika kama kweli wanainchi wana imani na yeye na utendaji wake wa kazi, ndio maana hakuna platform yoyote ya kutolea mawazo kinzani iliyobaki salama.

Hana hakika kama watanzania wenyewe wanaridhika na utendaji wake wa kazi ndio maana kila akiongea haishi kutaja mabara bara na mavitu mengine aliyowahi kuyafanya na yanaonekana wazi.

Hana hakika kama ahadi zake zina uhalisia, ndio maana tangu awe raisi mpaka leo hii anaongeleaga mafisadi.. Mafisadi.

Hana hakika kama vipaumbele vyake ni sahihi ukilinganisha uhalisia wa maisha ya wanainchi wake, ndio maana leo tunaona anaagiza mandege tu wakati huo sekta muhimu zaidi zikizidi kuzorota.

Hana hakika kama yeye ndio raisi, ndio maana kila muda haishi kujitutumua na kutumia Executive order hata pasipo hitajika.

Hana hakika kama kwenye huo uraisi wake yuko salama, ndio maana muda wote anatembea amezungukwa na midomo ya bunduki kama yuko Darfur.
 
tulipo sasa katika safari yetu:

Yousef Manji amefunga makampuni ukienda QC panatia huruma.

Mkuki House kuna makumi ya fremu hayana biashara soon yatageuka mazalia ya popo.

Njaa ni kali sana mtaani pesa haina thamani.

tunaelekea wapi?
 
Katiba inavunjwa... Tupo kimya!

Bunge halina tena makali... Tupo kimya!

Mahakama inaingiliwa... Tupo kimya!

Viongozi wanatoa kauli zinazokinzana kwenye suala linalofanana... Tupo kimya!

Watu wanauawa... Tupo kimya!

Watu wanatekwa... Tupo kimya!

Magerezani kama sokoni... Tupo kimya!

Watumishi,wafanyabiashara, wakulima, wastaafu, wahitimu na wananchi kwa ujumla wanalia... Wapo kimya!

JE, TUTAAMKA LINI??? TUTOKE NYUMA YA keyboard! MAKELELE MITANDAONI HAYATASAIDIA!

LET'S NOW WAKE UP AND TAKE ACTION!
 
Mkuu kwani wako Kimya au wanakalishwa Kimya

1.Azory alikaa kimya?
2.Ben saanane je alikaa kimya?
3.Ngurumo yuko Kimya?
4.Zitto Yuko Kimya?
5.Je Ukimya ndo umemuweka kabendera kizuizini?
6.Fatma Karume yupo Kimya?
7.Maria Sarungi je

Kwakweli hatuko Kimya

Britannica
 
Katiba inavunjwa... Tupo kimya!

Bunge halina tena makali... Tupo kimya!

Mahakama inaingiliwa... Tupo kimya!

Viongozi wanatoa kauli zinazokinzana kwenye suala linalofanana... Tupo kimya!

Watu wanauawa... Tupo kimya!

Watu wanatekwa... Tupo kimya!

Magerezani kama sokoni... Tupo kimya!

Watumishi,wafanyabiashara, wakulima, wastaafu, wahitimu na wananchi kwa ujumla wanalia... Wapo kimya!

JE, TUTAAMKA LINI??? TUTOKE NYUMA YA keyboard! MAKELELE MITANDAONI HAYATASAIDIA!

LET'S NOW WAKE UP AND TAKE ACTION!
Kama unaona kuna shida ni wewe,sisi tunaona Magufuli is the best President ever.Infact he is our dream President.Kama wewe hupendi Magufulization it's simple,hama nchi.Magufulization is here to stay.Mbona nchi ilipokuwa inafujwa kwenye awamu ya tatu na nne hamkusema?Sasa tumepata Rais anayejali taifa lake na kufanya mambo ya msingi,mnapiga makelele,viumbe wa ajabu sana ninyi.
 
Katiba inavunjwa... Tupo kimya!

Bunge halina tena makali... Tupo kimya!

Mahakama inaingiliwa... Tupo kimya!

Viongozi wanatoa kauli zinazokinzana kwenye suala linalofanana... Tupo kimya!

Watu wanauawa... Tupo kimya!

Watu wanatekwa... Tupo kimya!

Magerezani kama sokoni... Tupo kimya!

Watumishi,wafanyabiashara, wakulima, wastaafu, wahitimu na wananchi kwa ujumla wanalia... Wapo kimya!

JE, TUTAAMKA LINI??? TUTOKE NYUMA YA keyboard! MAKELELE MITANDAONI HAYATASAIDIA!

LET'S NOW WAKE UP AND TAKE ACTION!
Mahakama,bunge,katiba hivi vitu havijawahi kuwa na faida yoyote!
Hivi kipindi watu wanapiga Escrow! Mahakama,bunge katiba havikuwepo!?
Wakati wa wizi wa Richmond je? Wakati nyumba za serikali zinauzwa?
Hii demokrasia ya kimagharibi inatutia hasara tu!kila miaka mitano! Mnachagua majitu mengine,yanaenda kufanya yaleyale hakuna tija! Tangu 1992,tumekuwa tunachaguana! Nchi inazidi kuwa maskini!hata ambaye wazazi wake hawajazaliwa,anadaiwa!
Tufate mfumo wa China!hakuna kupoteza pesa kila miaka mitano!
Hebu fikiria Mkurugenzi analipwa 600K ya nyumba! 200K mawasiliano!200K umeme! Kila mwezi! Sasa wakurugenzi wapo wangapi! Je Ma RAS na Ma Das!jumlisha ma RC na Ma DC! Tutaendelea kweli!?
Mavyeo meeengi hakuna tija.
Kuna haja gani na kuwa na wabunge 300+!kwa tija IPI.
Mi sipo serikalini,nipo Dar,lakini najua changamoto za watu was kahama,kalumwa,mpaka Lindi mtambaswala,mpaka Kagera,karagwe!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom