Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Atafanya yoote huku Bara,kule kwa Wanaume Zanzibar hathabutu,Wala Nia ya kuthubutu Hana..na hawezi kuwa nayo.
 
Wewe ni mwendawazimu, yaani wakati population ya dunia inaongezeka kuwe na mkakati wa kuharibu kilimo then hao watu watakuja kula kwa mama yako?Tanzania was supposed to be the basket of food for Africa kama si dunia nzima na hivyo kuwafanya over 60 % ya watanzania wanaotegemea kilimo kuwa na maisha mazuri kwa kuuza mazao yao yaliyozalishwa kwenye hii ardhi bora kabisa aliyotupa muumba.ujinga na uroho wa madaraka wa watu wachache walioko ccm ndo sababu kubwa ya kuua kilimo ili hao 60%ya watanzania waendelee kuwa masikini then wakose elimu bora,exposure nk ili waendelee kuichagua ccm,otherwise nani mwenye akili,elimu na exposure anaweza kuipigia kula ccm au magufuli?
 
wewe hujui lolote,kwani hapa kwetu hali ipoje? unajua ilivyotabu kwa mgeni kupata kibali cha kufanya kazi Tz
 
Kweli usichokijua ni usiku wa giza.Na mtaingizwa mkenge sana kwa uvivu wenu wa kutopenda kujisomea na kukosa uwezo wa kutafakari mambo kwa kina.Yaani kweli unaona mambo kwenye kilimo yako sawa na hakuna kabisa a hidden hand!Sawa,kaeni hivyo hivyo na ujinga wenu.Mikakati yote hiyo tangu uhuru kilimo kinazidi kudorora na wala hamustuki,ovyoo.
 
unatafuta justification ya ujinga wenu?finger pointing haitawahi kumsaidia mtu yeyote nyie washamba wa madaraka
 
unatafuta justification ya ujinga wenu?finger pointing haitawahi kumsaidia mtu yeyote nyie washamba wa madaraka
Wala sitafuti justification,huo ndio ukweli,na hata sisi katika hili tu wajinga.
 
Wengi wanaomba kifo ila wakikutana nacho sasa.... Nya inagonga pichu....

Usitamini kufa mkuu vumilia neema inakaribia
 
Nyerere to quote him: "simpendi Idd Amin kwa vile ni muuaji"
 
Ndivyo mnavologa hivi kwenu. Hahahaha hahahaha. We ni wa wapi mkuu?
 
Nimsifie Magufuli ili watu waendelee kupigwa risasi? Nimsifie tu ata kama wakina Roma wataendelea kutekwa na wengine kupotea? Eti akanyage na kusigina katiba niendelee tu kumsifia? Nimsifie tu hata kama hana policy juu ya ajira ya wadogo zetu? nimsifie kwa lipi ambalo amelifanya halijawai kufanyika uko nyuma? Nyerere hakutoa elimu bure? vituo vya afya ujenz wa barabara,meli na ununuzi wa ndege?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…