elimu ya mkoloni imeharibu sana vichwa vyetu, yaani sisi waafrika ndo tumekua wasaidizi wa mabeberu katika kuzikashifu tawala zetu alafu twataka tuonekane malaika, hakika katika hili tunajirudisha nyuma wenyewe tukidhani tunanyimwa haki na tawala zetu kumbe tunaimba mapambio ya wazungu yenye mlengo wa kutudidimiza daily
mkuu tatizo tumekua na mtizamo wa kibeberu sana dhidi ya tawala zetu ndo maana tunafikia hatua hii, muafrika akitawala kinyume na mifumo ya mzungu atapigiwa kelele na kuonekana ni mkandamizaji wa kila kitu, hivi sisi hatuwezi tawala kinyume na mifumo ya mabeberu? je hatuwezi kua na demokrasia inayoakisi uhalisia wetu? hebu tuacheni kuwaza kama wafu akati wengi wetu hapa ndani ni wasomi.