heshima ulokua unaipata kimataifa inagawiwa na mabeberu hasa pale wanapopata uwezekano wa kujitwalia kila watakacho katika nchi yako, kinyume na hapo ukishazindukana tayari ushakua adui yao hawawez kukupa heshima hiyo, sikulaumu sana maada media za mabeberu zimeharibu bongo zetu na kutuaminisha kila wasemacho ndo sahih zaidi kwetu.CCM Imeharibu maisha, uhuru, umoja na haki ya mtanzania
Tumeparaganyika
Hatuheshimiwi tena kimataifa, ikumbukwe tulikuwa na heshima ulimwenguni kote.
Niabu na fedheha.
Kuheshimiwa kimataifa huku tukiwa tunaibiwa gesi nk kulikuwa kunatusaidia Nini? Hatuotaki heshima ya hivyo
heshima ulokua unaipata kimataifa inagawiwa na mabeberu hasa pale wanapopata uwezekano wa kujitwalia kila watakacho katika nchi yako, kinyume na hapo ukishazindukana tayari ushakua adui yao hawawez kukupa heshima hiyo, sikulaumu sana maada media za mabeberu zimeharibu bongo zetu na kutuaminisha kila wasemacho ndo sahih zaidi kwetu.
Nasema tena tatizo sio ccm, tatizo ni mgombea waliye naye
Kaa kimyaaa.uliyoandika asilimia 99 hayana uhalisia kwa watanzania walio wengi yanawagusa walio wachache Tena wa mijini wa kipato Cha kati waliozoea kuishi kwa ma deal wawe CCM , Chadema au wafanyakazi serikalini na makampuni binafsi ya kifisadi
hawakujitwalia kitu bt unaujua mbinyo waliombana mpaka akaamua kuondoka madarakani? au unajiongelea tu bila kujua hata history ya taifa lao? siasa ni fikra, uchumi ni fikra, demokrasia ni fikra na haki za binadam ni fikra na mifumo yote hii imeundwa na mmarekani ajil ya kuwanyonya wasiojitambua, ndo maana unapotaka kuziondoka hizo fikra utafanyiwa propaganda za kila namna uonekane unaharibu.Acha ujinga wewe, wakati wa Nyerere walijitwalia nini?
Kiongozi wao anawatishiaTatizo ni ccm Vilaza kibao, they never question nor challenge
hawakujitwalia kitu bt unaujua mbinyo waliombana mpaka akaamua kuondoka madarakani? au unajiongelea tu bila kujua hata history ya taifa lao? siasa ni fikra, uchumi ni fikra, demokrasia ni fikra na haki za binadam ni fikra na mifumo yote hii imeundwa na mmarekani ajil ya kuwanyonya wasiojitambua, ndo maana unapotaka kuziondoka hizo fikra utafanyiwa propaganda za kila namna uonekane unaharibu.
elimu ya mkoloni imeharibu sana vichwa vyetu, yaani sisi waafrika ndo tumekua wasaidizi wa mabeberu katika kuzikashifu tawala zetu alafu twataka tuonekane malaika, hakika katika hili tunajirudisha nyuma wenyewe tukidhani tunanyimwa haki na tawala zetu kumbe tunaimba mapambio ya wazungu yenye mlengo wa kutudidimiza daily
mkuu tatizo tumekua na mtizamo wa kibeberu sana dhidi ya tawala zetu ndo maana tunafikia hatua hii, muafrika akitawala kinyume na mifumo ya mzungu atapigiwa kelele na kuonekana ni mkandamizaji wa kila kitu, hivi sisi hatuwezi tawala kinyume na mifumo ya mabeberu? je hatuwezi kua na demokrasia inayoakisi uhalisia wetu? hebu tuacheni kuwaza kama wafu akati wengi wetu hapa ndani ni wasomi.
Hilo bango lichapishwe kwa maandishi MAKUBWA tayari kwa kampeni za urais tar.26We are all humans tusitumie nguvu kubwa kutawala.
kuna nini ndani ya nyumba ile?
Mnawaza ufirauni muda wote thats a best reason to prove you guys are mentally illHawezi kujitenga tangu arudi kutoka ulaya amebadilika sana. Angalia picha yake na ulinganishe na Sir Elton John. Huyu Sir Elton John anamumewe anaitwa David Fursish.
Hiko kimshahara chako na kujipendeza pamoja na ubinafsi unaona bora utete maslahi ya tumbo kuliko watoto wadogo wanaokunywa maji machafu kijijini,sijui nani kawalogaItakua poa Sana tukiwa Kama Korea kaskazini
wewe ni mtambo kweli, unadhani utatengeneza uchumi wa nchi yako kwa kuwachekea mabeberu? tatizo lenu vijana vichwa vyenu vimejaa maji haviwez kuchanganua mambo katika mtizamo sahihi.Embu acheni kukopa na kuchukua misaada msitufokee ,dunia nikijiji au kama vipi mipaka ifungwe na tutengeneze pesa zetu tuishi wenyewe si ndio yani mataga ni vic..h.aa kabisa
Mnawaza ufirauni muda wote thats a best reason to prove you guys are mentally ill