Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Miaka sita hata haijafika...mitano na miezi mitano.
 
Ulifaidika nini na hiyo Tanzani huru miaka zaidi ya 50 kabla ya JPM ? Au ndio unatafuta kichaka cha kuficha uzembe wako. Haya subirini sasa naona soon mtaanza kutajiwa idadi ya wagonjwa wa corona nchini ili mridhike na nafsi zénu
 
Salamu zenu za mwisho kutoka kwa Magufuli mtazipata siku mwili wake unaagwa.

Msikose kuangalia TV ndio mtajua ni kiasi gani watanzania maskini walivyokuwa wanamuhitaji.

Ni asilimia ndogo sana ndio wenye kulalamika na uongozi, wengi ni watu ambao waliozoea vitu rahisi rahisi tu.

We ukajenga lihoteli lako halafu utegemee serikali inunue huduma zako mzima kweli kichwani, au uanzishe kampuni kwa sababu ya tender za serikali tu. Wakisema hela yao inamatumizi mengine muanze kulia eti ana haribu uchumi, how pathetic.

Wachawi wote msikose kuangalia siku ambayo nabii Magufuli anapelekwa nyumba yake ya mwisho.

R.I.P Magufuli
 
Ukiona VP amekuwa Bashiru au mtu yeyote wa genge lile. Tegemea kurudi kulekule.
 
Ulifaidika nini na hiyo Tanzani huru miaka zaidi ya 50 kabla ya JPM ? Au ndio unatafuta kichaka cha kuficha uzembe wako. Haya subirini sasa naona soon mtaanza kutajiwa idadi ya wagonjwa wa corona nchini ili mridhike na nafsi zénu

Alifaidika na uhuru bila manyanyaso. Wataridhika wakitajiwa idadi kama ww ulivyofaidika na kutotangazwa kwa hiyo idadi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…