Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hoja dhaifu sana !
 
Msukuma umetoa povu aya kaungane naye kuswaga malaika huko aliko
 
Ndio naiona hekima ya kukatazana kumsema marehemu,kwa sababu kinachoendelea ni sawa na kusikiliza kesi upande mmoja tu na kisha kutoa hukumu.
 
Nchi hii haikuwai na haitakuja kupata kiongozi mshenzi na fedhuli Kama Magufuli. Kati ya sehemu ambayo nitawalaumu milele CCM na TISS yao ni hapa , iweje walazimishe watanzania tuongozwe na mtu mshenzi Kama yule??
Lile zee pia lilikuwa na roho mbaya, natamani mwili wake ufukuliwe tuutie moto hasira zetu zipungue kiasi
 
Kukaa kimya nako ni upumbavu tu sasa ivi tunawaona wanafiki tu mmejawa na uoga hata familia zenu sijui mnazisimamia vipi, Eti watu wa type za kina assad na hao wachungaji ndio Lissu alitegemea kuwaingiza barabarani ovyo kabisa
 
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii
Njoooniii huku uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku njoooniii huku njoooniii huku njoooniii

Kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…