Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.

Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.

Nawasilisha
Hii akili ndogo sana, sijui tukusaidieje!
 
Kukaa kimya nako ni upumbavu tu sasa ivi tunawaona wanafiki tu mmejawa na uoga hata familia zenu sijui mnazisimamia vipi, Eti watu wa type za kina assad na hao wachungaji ndio Lissu alitegemea kuwaingiza barabarani ovyo kabisa
Kila jambo na wakati wake , hivi kama Assad angepotezwa wakati ule haya anayoyafichua leo tungeyajulia wapi ?
 
Alafu kwa tabia zake Za kishenzi hizi still TISS na CCM walilazimisha atuongoze! Kweli sijui walituonaje watanzania hawa watu!
Kama hao baadhi ya TISS na CCM walikua wanufaika wakubwa kwa dhuruma inayoendelea unategemea nini na pia Tanzania wageni wamejaa hapo mpaka sehemu za maamuzi...Mungu ni mwema sana tungepata tabu na kuvuja damu kisa kikundi cha kihuni cha watu wachache mimi nilishangaa jinsi walivyotaka kuuza korosho soko la dunia...
 
Kama Magufuli ni fisadi ni lazima atakuwa amewekeza mali nyingi sana ndani na nje ya nchi. Ebu ninyi mnaosema Magufuli ni fisadi tuonyesheni hizo mali na utajiri wake!
Magu alikuwa na madhaifu yake kama mtu ila hizi shutuma nmi za kishenzi sana na hazina ushahidi wowote ule. Chuki binafsi tu kwa sababu mlibanwa mbavu na Magu
 
Kama hao baadhi ya TISS na CCM walikua wanufaika wakubwa kwa dhuruma inayoendelea unategemea nini na pia Tanzania wageni wamejaa hapo mpaka sehemu za maamuzi...Mungu ni mwema sana tungepata tabu na kuvuja damu kisa kikundi cha kihuni cha watu wachache mimi nilishangaa jinsi walivyotaka kuuza korosho soko la dunia...
Ninaamini kabisa huyu Magufuli alikuwa pandikizi wa nchi jirani aliyepewa mission ya kuiharibu Tanzania. Na inasemwa alijaza sana watu wake wa Burundi na Rwanda kwenye system huko!
 
Ukweli hakuwa mstaarabu kuanzi kwao Unawezajd kupasua kwa shoka jeneza alilo nunua dada yako kisa tu mwanamke
Wana Chato wanalijuwa hili
Alikuwa kiumbe hatari sana!!

Aisee!. Hii ni kashfa mpya kwangu. Kumbe alikuwa mbaguzi hadi kwa Dada zake?
 
Utawala wa Jombe Pombe ulikuwa ni utawala wa kishenzi sana, Ni utawala wa kijinga mnoo, ni utawala uliokuwa haujui hata unafanya nini, haukujua hata kesho kutatokea nini, haukuwa na uwezo wa kuona mbali, ilikuwa ilimradi tu panakucha na script mpya, Kauli zake hazizkuwa za kiuongozi, zilikuwa ni kauli za majivuno na ujuaji mwingi. kwa kifupi Mungu ameamu kutupa pumzi mpya.
Mungu ana nguvu sana, ukitaka kuabudiwa anakukata mapembe haraka.

Apumzike kwa amani Mzee wa kudharau wenzake kwakuwa yeye anajua kila fani
 
Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.

Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.

Nawasilisha
Hiyo miradi alifanya kwa kutumia hela ya CHATO?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom