Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ungenijibu kuhusu kagame kuwekwa na mseveni ndio tuhamie upande wa mseveni...
Kati ya M7 na PK nani alikua wa kwanza kua Rais kabla ya mwenzake?

Ukipata hilo jibu then jiulize huyo aliyekua rais kabla ya mwenzake aliingizwa madarakani na wakina nani

Hapo utapata jibu sahihi.
 
"Asad" ndio nini? hii ni mental case haihitaji kutupotezea muda watz
 
Kati ya M7 na PK nani alikua wa kwanza kua Rais kabla ya mwenzake?

Ukipata hilo jibu then jiulize huyo aliyekua rais kabla ya mwenzake aliingizwa madarakani na wakina nani

Hapo utapata jibu sahihi.
Sasa mbona unaongea kitu kama unajua wakati majibu hauna viswali vya darasa la nne hivi museven alikua Rais toka mwaka 86 huyu PK ni juzi tuu mwaka 2000 yaani huyo mzee alikuwepo kwenye vita ya rebbelion ya Iddi Amin na Obote na PK ni Rais wa awamu ya sita hapo Rwanda...
 
Walimu waliokufundisha walipata tabu sana
 
Mema aliwafanyia nyie hakuwabomolea nyumba,huku kwetu nyumba zilipisha barabara bila kulipwa tena kukiwa na zuio la mahakama.

Huko kwenu mwanza barabara ndo ilipisha nyumba
Wale wasibomolewe kwa sababu walinipa kura ! What a President !
 
... eti mitano tena; my foot! Atukuzwe Mungu wa Mbinguni kwa matendo yake makuu. Watanzania tungeteseka sana kama nia ile ingetimia bila Mungu kuchungulia yaliyokuwa yanaendelea Tanzania na kuingilia kati!

Mwalimu Nyerere alionya kuwa katiba yetu ilikuwa inampa Rais wetu mamlaka makubwa sana kiasi kwamba anakuwa kama MUNGU mtu; akaonya kuwa siku moja mnaweza kupata RAIS MWEHU ambaye atayatumia mamlaka hayo vibaya hapo ndio mtakapojuta!! Hilo likatokea 2015 nchi ikampata Rais ambaye hakuwahi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi na matokeo yake wananchi mmeyaona!!
 
Duh !
 
LWAITAMA MNAFIKI,ATEKWE ASSAD,UTOE TAARIFA WEWE, KUMBE WE NI ACD WA ASSAD! MMEZEEKA VIBAYA.
Wewe unaona ajabu gani Lwaitama kujua kilicho msibu Prof. Assad? Kwa taarifa yako Dk. Lwaitama na Prof. Assad wote waliwahi kuwa Lecturers Chuo Kikuu cha DSM, usibeze beze binadamu wenzako kabla hujafanya utafiti kwanza.
 
Wawe fair kueleza mazuri na mabaya yake. Siyo upamj0
Shida ya watanzania kila Rais na awamu yake amelaumiwa na kupondwa mawe tuache tabia hii. Ninakumbuka Rais Nyerere alisemwa jana kuhusu ujamaa na kuanguka kwa uchumi, Rais Mwinyi alisemwa sana kuhusu udini na uchumi wa fedha kwenye soksi,Mkapa kuhusu kuuza mashirika ya umma ingawaje alikiri kufanya makosa,Kikwete kuhusu ubadhirifu, Rushwa ,Ufisadi madawa ya kulevya na pia udini,Magufuli analaumiwa kuhusu ufujaji, ubadhirifu na ukabila. Je nani msafi sasa kama ndivyo hivi. Hata hivyo tuwe na nidhamu iwapo tulishindwa kuyasema haya Rais akiwa hai akifa tukisema haisaidii tunawaonea na ni udhaifu.Hawa wote kila mtu aliyefariki aliacha legacy yake. Vinginevyo Marais walio hai tuwadai majibu wa waliyofanya kabla hawajaenda ahera. Waliofariki tuwaache wapumzike kwa vile hawawezi kujitetea.Wako kwemye himaya ya Mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…