Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Nchi hii haikuwai na haitakuja kupata kiongozi mshenzi na fedhuli Kama Magufuli. Kati ya sehemu ambayo nitawalaumu milele CCM na TISS yao ni hapa , iweje walazimishe watanzania tuongozwe na mtu mshenzi Kama yule??
Tiss na polisi
 
Sema yanayokuhusu. Sisi tunataja yale yaliyotugusa.
 
Nchi hii haikuwai na haitakuja kupata kiongozi mshenzi na fedhuli Kama Magufuli. Kati ya sehemu ambayo nitawalaumu milele CCM na TISS yao ni hapa , iweje walazimishe watanzania tuongozwe na mtu mshenzi Kama yule??
Hakufikia ushenzi wa kuwanyima mishahara lakini
 
Ndio naiona hekima ya kukatazana kumsema marehemu,kwa sababu kinachoendelea ni sawa na kusikiliza kesi upande mmoja tu na kisha kutoa hukumu.
Hata alipokuwa hai kesi ilikuwa upande mmoja tu, hakuna mtu aliyeweza kufungua mdomo wake dhidi yake sasa kibao kimegeuka.
 
Nchi hii haikuwai na haitakuja kupata kiongozi mshenzi na fedhuli Kama Magufuli. Kati ya sehemu ambayo nitawalaumu milele CCM na TISS yao ni hapa , iweje walazimishe watanzania tuongozwe na mtu mshenzi Kama yule??
Na sasa urais wake umetenguliwa na Mungu kupisha uchunguzi dhidi ya matumizi mabaya ya madaraka.
 
Hoja ya kike...hoja imevaa chupi
 
Umepoteza muda wako nyonyo
 
kumbuka yote uliyoyataja yalifanyywa kwa fedha zetu na zingine (mikopo) bado tutaendelea kuzilipa kwa miaka kadhaa ijayo
 
Umeoma umeamdika nini unaweza twende kwa hoja hivi vitu
 
1)Madaraja yako mawili wewe unajua yako mangapi
2) inafanya kazi wapi hiyo sgr au ni sifa tu
 
Nioneshe mali za mafisadi wengine unaowajua
 
Hiyo account siyo ya Dr. Rwaitama. Ni fake account. Yule Dr. Hawezi kuandika kwa kiwango cha chini hivyo
 
Hata alipokuwa hai kesi ilikuwa upande mmoja tu, hakuna mtu aliyeweza kufungua mdomo wake dhidi yake sasa kibao kimegeuka.
Sasa tangu lini kibao kikamgeukia maiti? ushawahi kuona maiti anashtakiwa au kuwajibika kwa lolote?

Sasa hivi haya madudu yaliyofanyika kwenye serikali ya awamu ya tano yote anatwishwa Maiti ambaye hawajibiki kwa lolote halafu viongozi walewale waliyokuwepo kwenye hiyo serikali ndio hao hao bado wapo kwenye madaraka na wapo kimya hawatii hata neno kwenye hayo madudu yaliyofanyika kwenye serikali ambayo wao ndio walikuwepo, sasa hivi wanasisitiza kuwa hii ni serikali ya awamu ya sita hivyo hawana cha kuwajibika zigo katwishwa maiti.
 
biblia huna bando huna

sina la kukusaidia na usinichoshe
Wewe ndio ulitaka unichoshe mimi,yani uandike vinamba hapo halafu mimi nianze kutafuta biblia sijui kugoogle tabu yote ya nini?
 
Unoangea nini bhanaaaaaa! Umepagawa?
 
Mungu ana nguvu sana, ukitaka kuabudiwa anakukata mapembe haraka.

Apumzike kwa amani Mzee wa kudharau wenzake kwakuwa yeye anajua kila fani
Ila nguvu za Mungu hazitoshi kuondoa corona? maana ndio jambo lenye kusumbua dunia.
 
Najaribu kuwaza kwa sauti hivi Mungu asingeingilia kati mpaka kufikia 2025 tungekuwa na hali gani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu gani unakusudia mkuu maana hali za watu huwa hasifanani kuna makundi tofauti ya watu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…