guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
acha wanyonge,'wazalendo' ,na miradi aliyoijenga imtetee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tiss na polisiNchi hii haikuwai na haitakuja kupata kiongozi mshenzi na fedhuli Kama Magufuli. Kati ya sehemu ambayo nitawalaumu milele CCM na TISS yao ni hapa , iweje walazimishe watanzania tuongozwe na mtu mshenzi Kama yule??
Sema yanayokuhusu. Sisi tunataja yale yaliyotugusa.Wawe fair kueleza mazuri na mabaya yake. Siyo upamj0
Shida ya watanzania kila Rais na awamu yake amelaumiwa na kupondwa mawe tuache tabia hii. Ninakumbuka Rais Nyerere alisemwa jana kuhusu ujamaa na kuanguka kwa uchumi, Rais Mwinyi alisemwa sana kuhusu udini na uchumi wa fedha kwenye soksi,Mkapa kuhusu kuuza mashirika ya umma ingawaje alikiri kufanya makosa,Kikwete kuhusu ubadhirifu, Rushwa ,Ufisadi madawa ya kulevya na pia udini,Magufuli analaumiwa kuhusu ufujaji, ubadhirifu na ukabila. Je nani msafi sasa kama ndivyo hivi. Hata hivyo tuwe na nidhamu iwapo tulishindwa kuyasema haya Rais akiwa hai akifa tukisema haisaidii tunawaonea na ni udhaifu.Hawa wote kila mtu aliyefariki aliacha legacy yake. Vinginevyo Marais walio hai tuwadai majibu wa waliyofanya kabla hawajaenda ahera. Waliofariki tuwaache wapumzike kwa vile hawawezi kujitetea.Wako kwemye himaya ya Mungu.
Hakufikia ushenzi wa kuwanyima mishahara lakiniNchi hii haikuwai na haitakuja kupata kiongozi mshenzi na fedhuli Kama Magufuli. Kati ya sehemu ambayo nitawalaumu milele CCM na TISS yao ni hapa , iweje walazimishe watanzania tuongozwe na mtu mshenzi Kama yule??
Hata alipokuwa hai kesi ilikuwa upande mmoja tu, hakuna mtu aliyeweza kufungua mdomo wake dhidi yake sasa kibao kimegeuka.Ndio naiona hekima ya kukatazana kumsema marehemu,kwa sababu kinachoendelea ni sawa na kusikiliza kesi upande mmoja tu na kisha kutoa hukumu.
Na sasa urais wake umetenguliwa na Mungu kupisha uchunguzi dhidi ya matumizi mabaya ya madaraka.Nchi hii haikuwai na haitakuja kupata kiongozi mshenzi na fedhuli Kama Magufuli. Kati ya sehemu ambayo nitawalaumu milele CCM na TISS yao ni hapa , iweje walazimishe watanzania tuongozwe na mtu mshenzi Kama yule??
Hoja ya kike...hoja imevaa chupiIli Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama
"NAAAM....!
Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.
Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.
Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.
Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.
Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.
Nawasilisha
Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama

Umeoma umeamdika nini unaweza twende kwa hoja hivi vituIli Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama
"NAAAM....!
Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.
Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.
Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.
Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.
Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.
Nawasilisha
1)Madaraja yako mawili wewe unajua yako mangapiIli Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama
"NAAAM....!
Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.
Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.
Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.
Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.
Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.
Nawasilisha
Nioneshe mali za mafisadi wengine unaowajuaKama Magufuli ni fisadi ni lazima atakuwa amewekeza mali nyingi sana ndani na nje ya nchi. Ebu ninyi mnaosema Magufuli ni fisadi tuonyesheni hizo mali na utajiri wake!
Magu alikuwa na madhaifu yake kama mtu ila hizi shutuma nmi za kishenzi sana na hazina ushahidi wowote ule. Chuki binafsi tu kwa sababu mlibanwa mbavu na Magu
Sasa tangu lini kibao kikamgeukia maiti? ushawahi kuona maiti anashtakiwa au kuwajibika kwa lolote?Hata alipokuwa hai kesi ilikuwa upande mmoja tu, hakuna mtu aliyeweza kufungua mdomo wake dhidi yake sasa kibao kimegeuka.
Wewe ndio ulitaka unichoshe mimi,yani uandike vinamba hapo halafu mimi nianze kutafuta biblia sijui kugoogle tabu yote ya nini?biblia huna bando huna
sina la kukusaidia na usinichoshe
Unoangea nini bhanaaaaaa! Umepagawa?Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama
"NAAAM....!
Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.
Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.
Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.
Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.
Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.
Nawasilisha
Ila nguvu za Mungu hazitoshi kuondoa corona? maana ndio jambo lenye kusumbua dunia.Mungu ana nguvu sana, ukitaka kuabudiwa anakukata mapembe haraka.
Apumzike kwa amani Mzee wa kudharau wenzake kwakuwa yeye anajua kila fani
Watu gani unakusudia mkuu maana hali za watu huwa hasifanani kuna makundi tofauti ya watu?Najaribu kuwaza kwa sauti hivi Mungu asingeingilia kati mpaka kufikia 2025 tungekuwa na hali gani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alikuwa hatari kwa nani mkuu?Magu alikuwa hatari sana.
Kwahiyo wenye dhambi ndiyo hufariki?Warumi 6:23 inasema hivi , nanukuu " KWA MAANA MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI , BALI KARAMA YA MUNGU NI UZIMA WA MILELE KATIKA KRISTO YESU BWANA WETU " mwisho wa kunukuu