MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
πββοΈπβοΈπππππ€ππππ‘οΈMi sijawahi ona uongozi wa vile mahala popote na miaka yangu hii 47. Ule ulikuwa uongozi wa hovyo and never should it repeat again in our holy land which was handled over to virgin mary by his holiness pope paul 2
π€£ π€£ π€£Hatujawahi kupata uongozi bora kama wa Magufuli tangu nchi yetu iumbwe. Yule alikuwa zawadi kutoka mbinguni.
πββοΈπβοΈπππππ€ππππΌπ‘οΈMagu alikua hafai kuitwa Kiongozi(Raisi), alikua ovyo wa kupitiliza na visasi vya kukomoana umoumo. Uyu Mama Samia wa sasa ni Genius asieonekana, ni mwanamke lakini ana akili kubwa ya kuyaendea mambo. Huyu namtabilia makubwa akienda hivi, watu watalalamika eti dhaifu lakini uchumi utakua sana na miundombinu itajengwa sana. Umuonae dhaifu ndie mwenye nguvu. Povu ruksa.
Halafu kuna mtoto anakuita mama, na kuna njemba anakuita mke uliyemzalia watoto wanne na kila siku anakula unyumba kwako ποΈ sio kwa nia mbaya ila jaribu kulinda hiyo heshima ndogo uliyobaki nayoMi sijawahi ona uongozi wa vile mahala popote na miaka yangu hii 47. Ule ulikuwa uongozi wa hovyo and never should it repeat again in our holy land which was handled over to virgin mary by his holiness pope paul 2
Waulize wenzako!!Mi sijawahi ona uongozi wa vile mahala popote na miaka yangu hii 47. Ule ulikuwa uongozi wa hovyo and never should it repeat again in our holy land which was handled over to virgin mary by his holiness pope paul 2
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi chochote!Mi sijawahi ona uongozi wa vile mahala popote na miaka yangu hii 47. Ule ulikuwa uongozi wa hovyo and never should it repeat again in our holy land which was handled over to virgin mary by his holiness pope paul 2
Shika adabu wewe. Bila shaka ulitumbuliwa ufisadi au cheti feki.Mi sijawahi ona uongozi wa vile mahala popote na miaka yangu hii 47. Ule ulikuwa uongozi wa hovyo and never should it repeat again in our holy land which was handled over to virgin mary by his holiness pope paul 2