Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Magu alikua hafai kuitwa Kiongozi(Raisi), alikua ovyo wa kupitiliza na visasi vya kukomoana umoumo. Uyu Mama Samia wa sasa ni Genius asieonekana, ni mwanamke lakini ana akili kubwa ya kuyaendea mambo. Huyu namtabilia makubwa akienda hivi, watu watalalamika eti dhaifu lakini uchumi utakua sana na miundombinu itajengwa sana. Umuonae dhaifu ndie mwenye nguvu. Povu ruksa.
 
Mi sijawahi ona uongozi wa vile mahala popote na miaka yangu hii 47. Ule ulikuwa uongozi wa hovyo and never should it repeat again in our holy land which was handled over to virgin mary by his holiness pope paul 2
🙋‍♂️📝✍️👍👌👊👏🤝🙏💐🎁🛡️
 
🙋‍♂️📝✍️👍👌👏👊🤝🙏💐🎁🗼🛡️
 
Mi sijawahi ona uongozi wa vile mahala popote na miaka yangu hii 47. Ule ulikuwa uongozi wa hovyo and never should it repeat again in our holy land which was handled over to virgin mary by his holiness pope paul 2
Halafu kuna mtoto anakuita mama, na kuna njemba anakuita mke uliyemzalia watoto wanne na kila siku anakula unyumba kwako 🗑️ sio kwa nia mbaya ila jaribu kulinda hiyo heshima ndogo uliyobaki nayo
 
Mi sijawahi ona uongozi wa vile mahala popote na miaka yangu hii 47. Ule ulikuwa uongozi wa hovyo and never should it repeat again in our holy land which was handled over to virgin mary by his holiness pope paul 2
Waulize wenzako!!

Sisi tuliouamini uchapakazi wake Wala usitupotezee muda wewe pimbi
 
Mi sijawahi ona uongozi wa vile mahala popote na miaka yangu hii 47. Ule ulikuwa uongozi wa hovyo and never should it repeat again in our holy land which was handled over to virgin mary by his holiness pope paul 2
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi chochote!
 
Mi sijawahi ona uongozi wa vile mahala popote na miaka yangu hii 47. Ule ulikuwa uongozi wa hovyo and never should it repeat again in our holy land which was handled over to virgin mary by his holiness pope paul 2
Shika adabu wewe. Bila shaka ulitumbuliwa ufisadi au cheti feki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom