Chrizant Kibogoyo
Senior Member
- Aug 12, 2016
- 159
- 81
Huna uwezo wa kunichagulia cha kusikiliza maana mimi siyo mpiga marimba kama wewe
Matusi ya nini? Nimekuwekea pia vitu vingine alivyosema JPM toka kinywani mwake. Tuwe wavumulivu na kukubali hoja mbadala badala ya kung'ang'ania mawazo yetu na yale tunaowapenda tu hata kama hoja zao ni dhaifu sana. Nina uhakika hivi sasa kwa bajeti hiyo aliyotaja JPM ukiugua dawa utapata, vipimo CT Scan, MRI n.k utapata tofauti na hapo nyuma demokraisa ilipokuwa imetaramaki.