Chrizant Kibogoyo
Senior Member
- Aug 12, 2016
- 159
- 81
Huna uwezo wa kunichagulia cha kusikiliza maana mimi siyo mpiga marimba kama wewe
Jitahidi utapata uteuzi wa katibu tarafa maana zile za madc ndiyo umechelewaMatusi ya nini? Nimekuwekea pia vitu vingine alivyosema JPM toka kinywani mwake. Tuwe wavumulivu na kukubali hoja mbadala badala ya kung'ang'ania mawazo yetu na yale tunaowapenda tu hata kama hoja zao ni dhaifu sana. Nina uhakika hivi sasa kwa bajeti hiyo aliyotaja JPM ukiugua dawa utapata, vipimo CT Scan, MRI n.k utapata tofauti na hapo nyuma demokraisa ilipokuwa imetaramaki.
Habari leo si lenu kazi mnayo
Jitahidi utapata uteuzi wa katibu tarafa maana zile za madc ndiyo umechelewa
Waeleweshe na wanao lalamika kuwa serikali yao tukufu inawapeleka wapi?.Wengine wenye akili timamu na uwezo wa kufiri tusio lalamika wenye kujielewa tumeona tunaelekea wapi ,pili unahitaji kutambua serikali ni wananchi .
Sisi hatuhitaji kazi kwa kujikomba komba kwa watawalaNashukuru umeishiwa hoja. Jmosi njema tutaendelea kukutana humu ninyi mkitumia majina ya bandia na sisi tukitumia majina yetu kamili ili kuweka mambo sawasawa. HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA!!
Sisi hatuhitaji kazi kwa kujikomba komba kwa watawala
elewesha watu sasa unakaa kimya!..Wengine wenye akili timamu na uwezo wa kufiri tusio lalamika wenye kujielewa tumeona tunaelekea wapi ,pili unahitaji kutambua serikali ni wananchi .
Teuzi zimkupitia mkono wa kushoto sasa anza na kazi ya kuwavalisha wanene viatu labda utafikiriwaKubali kuwa umeishiwa hoja, ulijaribu kuupotosha umma,nimekurejesha katika msatri hadi ukaishiwa hoja.
Teuzi zimkupitia mkono wa kushoto sasa anza na kazi ya kuwavalisha wanene viatu labda utafikiriwa
Kawavalishe viatu kwanzaTurudi katika hoja yetu ya msingi tuliyoanza nayo. Kama umechemka sema. na siku ingine msianzishe mada za kipuuzi kwa kufikiri ni ninyi tu ndio mna mawazo. Wapotoshaji wakubwa.
Mkuranga sasa hivi tumefungua kiwanda cha kutengeneza yebo yeboHakuna vipaumbele vya taifa kwa wakati uliopangika, yaani ni vurugu mechi (gombania goli) mara ndege, mara train, mara viwanda, mara vyeti fake, mara bandari, mara siasa, ni vizuri kufanya jambo moja baada ya jingine katika muda mfupi uliopangika.
# Tupo Tupo tu
Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!