Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Nyerere huyu huyu anaesemekana kwamba alishauriwa na mke wake ahamishie makao makuu ya Serikali Dodoma ? Ama kweli nyani haoni kundule!!
 
Rekebisha kauli zako wewe popoma!! Sema baadhi ya watanzania ukiwemo wewe mwenyewe mna akili fupi ndio mana hamsongi mbele Kwa kuendekeza siasa
 
Hata yeye mwenyewe hawezi kukuambia mkuu.. Hii miaka mitano ya kupangua na kupanga uongozi... Miaka ya kujifunza bila kushauriwa... Tusichoke kumuombea...
 
Hata mletewe malaika awatawale, hamtoridhika!
Ooh! Mara JK dhaifu, hafai...Leo anaonekana wa maana!
Ooh! Mara tunahitaji rais dikteta ili nchi iende, kaja JPM anafanya Yale mliyotaka kufanyiwa, pia anaonekana hafai, Na hata mwaka hajamaliza!
Mnataka nini hasa? Kila kitu unataka nchi yako ikufanyie, Wewe umeifanyia nini nchi yako?
Kodi hutaki kulipa, lakini unataka madawa hospitalini Na barabara nzuri...WTF!
Umehitimu chuo kikuu, lakini unashindwa kushughulisha akili yako kutafuta namna ya kujiajiri Na kujikwamua kiuchumi, unabaki kulalama kwa nini serikali haijakuajiri! Grow the f*ck up! Hakuna maisha ya mteremko!
Ana miaka 5 ya kuongoza, mpeni muda Na mwacheni afanye kazi yake,
Baada ya huo muda, toka mbele, laumu, hukumu kwa kadri utakavyoweza, utakua Na haki hiyo!
 
Kutoa Maoni ni haki yangu kikatiba.

kama utafatilia tangu rais aingie madarakani hakuna mission wala vision ya taifa.

1. utakuta watu wamekomaa kustukiza wakati matstizo ya watanzania yanajulikana

2. bomoa bomoa ilivoisha kienyeji, Maskin chali mama Lwakatare wanamcheki tu

3 mahakama ya mafisadi halafu Lugumi ikaisha fastafasta,escrow suspect bado ni wabunge

4 sukari drama mpk Leo haijastabilize

5 siasa za woga ,kuogopa kukosolewa wakati makosa kibao yapo ya kiutendaji

6 kufungia msgazeti na kuingiza gizani bunge kwa kuhofia kukosolewa

7 Fyatueni watoto + wamachinga rudin town is like phillipens drama

8 tunahamia Dodoma, then ofisi watumie hostel za udom

9 kuzuia ukuta kwa gharama kubwa wakati katiba inakiukwa wazi, hata ushahidi ni barua aliyoandikiwa Makonda na tume ya haki za binadamu.

mh Raisi ukitaka uongoze kwa amani na mafanikio usiwadharau wala kuwabagua wapinzani, wasikilize wape Uhuru,mazuri yao chukua mabaya waachie utafanikiwa

malizia mchakato wa katiba kwa kuirejesha katiba ya warioba.

Declare wazi Tanzania ya viwanda haiwezekani, kwa kuwa hakuna hata harufu au dalili ya kuhappen. elimu bado,wakulima bado,miundo mbinu bado,nishati bado,Sera bado,ushirikishwaji bado,Sera bado. nk
 
Mkuu umemaliza na laiti kama angekua msikivu angechukua ushauri huu lakini ndo hivyo tena.
 
Uwa nafurahi sana nikiona hadi maprofesa na madokta wateule wa raisi waking'ang'ania kuhusu Tanzania ya viwanda huku wanajua kwa sasa hivi haiwezekani sasa sijui wana mkejeli jamaa
 
Pesa sabuni ya Roho....ufipa ishawekwa kwapani na fisadi....vijana kazi yao ni kutetea ufisadi....na BADO mtanyoka tu.Magufuli ndio rais bora Africa nzima na dunia kwa ujumla km hutaki hama nchi au subri siku ya UKUTA uvunjwe vunjwe
 
Pesa sabuni ya Roho....ufipa ishawekwa kwapani na fisadi....vijana kazi yao ni kutetea ufisadi....na BADO mtanyoka tu.Magufuli ndio rais bora Africa nzima na dunia kwa ujumla km hutaki hama nchi au subri siku ya UKUTA uvunjwe vunjwe
vijana wanaotetea ufisadi miaka nenda rudi ni UVCCM, na washaanza kuumbuana baada ya kunyimana mshiko.halafu inaonyesha elimu yako ni kiduchu maana unasema "africa na dunia nzima" kana kwamba africa haiko duniani. rudi MEMKWA kidooogo.
 
Mi nadhani chadema na mbowe ndio wamepoteza Dira kwa kubadili gia angani na kukumbatia mafisadi na ufisadi
 
Pesa sabuni ya Roho....ufipa ishawekwa kwapani na fisadi....vijana kazi yao ni kutetea ufisadi....na BADO mtanyoka tu.Magufuli ndio rais bora Africa nzima na dunia kwa ujumla km hutaki hama nchi au subri siku ya UKUTA uvunjwe vunjwe

Hii comment ni mfano halisi Tanzania iko nyuma kielimu. Huyu mtu hajaandika chochote cha maana kupinga hoja ya mtoa mada.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…