Hata mletewe malaika awatawale, hamtoridhika!
Ooh! Mara JK dhaifu, hafai...Leo anaonekana wa maana!
Ooh! Mara tunahitaji rais dikteta ili nchi iende, kaja JPM anafanya Yale mliyotaka kufanyiwa, pia anaonekana hafai, Na hata mwaka hajamaliza!
Mnataka nini hasa? Kila kitu unataka nchi yako ikufanyie, Wewe umeifanyia nini nchi yako?
Kodi hutaki kulipa, lakini unataka madawa hospitalini Na barabara nzuri...WTF!
Umehitimu chuo kikuu, lakini unashindwa kushughulisha akili yako kutafuta namna ya kujiajiri Na kujikwamua kiuchumi, unabaki kulalama kwa nini serikali haijakuajiri! Grow the f*ck up! Hakuna maisha ya mteremko!
Ana miaka 5 ya kuongoza, mpeni muda Na mwacheni afanye kazi yake,
Baada ya huo muda, toka mbele, laumu, hukumu kwa kadri utakavyoweza, utakua Na haki hiyo!