Mkuu acha kuonyesha udahifu wako hadharani, unaanzaje kumfuatilia baharia mwenzio mkuu
Kati ya 35na 40 kama mi mwongo aje anikosoe niko tayari ila sio kwa kunikosoa kwa ndumba zakeUyo jamaa simwelewagi apa jukwaani kama ni kijana au mzee make kila jukwaa yupo mambo ya kitoto utamkuta uchumi siasa mpaka kwa akina harmonize tofauti na watu wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah we jamaa
[emoji109][emoji120][emoji115]Jamaa we ni muungwana sana
[emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji30][emoji19][emoji19][emoji19]Hatujui umri wake,ila tunajua alisoma shule moja na mzee wasira,tyson
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji851][emoji851][emoji115][emoji115]We mtaje taje tuu ngoja aje akuloge
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Mshana ni makamu ya Herode.
Ikiwa unamfaham vizuri Herode basi ndo kama huyo.
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Kati ya 35na 40 kama mi mwongo aje anikosoe niko tayari ila sio kwa kunikosoa kwa ndumba zake
[emoji30][emoji30][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji125][emoji125][emoji125]nachompendea jamaa huwa hajifichii.nenda pale mamlaka ya bandari dar utamkuta kajaa tele (utamkuta kavaa reflectors za njano na kofia zile bakuli nyeupe),
😂😂wamekukosea heshima kabisa hawa watoto. wanakufananisha nao eti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji851][emoji851][emoji851]mambo ya kitoto