Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Ok nieleze hatua/process za kubook boat kwanza mengine nitajua mbele kwa mbeleKila kitu ulichosema hapo kinategemea na uwezo wa daraja unaloweza kulipia.
Kuanzia gharama ya boti mpk hotel
Boat unaenda pale azam marine kuna za asbh mchana na jioni hakikisha una kitambulishoOk nieleze hatua/process za kubook boat kwanza mengine nitajua mbele kwa mbele
Nashukuru sanaBoat azam 25,35 na 50..na kwa siku hizi wahi kukata siku moja kabla walanguzi ni wengi..hotel za kati 60 mpaka laki..sehem nzur za beach nenda Nungwi beach km kama 50 toka mjini au nenda Fumba town kwa bakhersa km km 30 toka mjini..ila Nungwi kuko poa zaidi..
Wazoefu jitokezeni mnisaidie ktk hili.
Nahitaji kwenda Zanzibar weekend hii kubadili upepo ila hii ni mara yangu ya kwanza kwenda Zanzibar.
Nahitaji kujua yafuatayo;
Kubook bot za asubuhi nipo Sinza
Kujua sehemu ambazo ni nzuri kuenjoy na family
Sehemu isiyokuwa na msongamano ukizingatia kesho ni mapinduzi day
Gharama za Azam express boat
Gharama za hoteli za kati nk.
Nitashukuru sana kuyafahamu hayo yote na zaidi ya hapo.
Kwani sikuizi hutoi mzigo mpka upakwe wese?Usisahau tu kubeba ' Wese ' la Kilainishi Mkuu.