Anayejua sehemu za kufurahi msaada tafadhali.

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Wazoefu jitokezeni mnisaidie ktk hili.
Nahitaji kwenda Zanzibar weekend hii kubadili upepo ila hii ni mara yangu ya kwanza kwenda Zanzibar.

Nahitaji kujua yafuatayo;
Kubook bot za asubuhi nipo Sinza
Kujua sehemu ambazo ni nzuri kuenjoy na family
Sehemu isiyokuwa na msongamano ukizingatia kesho ni mapinduzi day
Gharama za Azam express boat
Gharama za hoteli za kati nk.

Nitashukuru sana kuyafahamu hayo yote na zaidi ya hapo.
 
Kila kitu ulichosema hapo kinategemea na uwezo wa daraja unaloweza kulipia.

Kuanzia gharama ya boti mpk hotel
 
Ok nieleze hatua/process za kubook boat kwanza mengine nitajua mbele kwa mbele
 
Boat azam 25,35 na 50..na kwa siku hizi wahi kukata siku moja kabla walanguzi ni wengi..hotel za kati 60 mpaka laki..sehem nzur za beach nenda Nungwi beach km kama 50 toka mjini au nenda Fumba town kwa bakhersa km km 30 toka mjini..ila Nungwi kuko poa zaidi..
 
Nashukuru sana
 
Shukrani kwa wote nimeelewa vizuri kabisa ama kweli Jf is our home.
 
Wazoefu jitokezeni mnisaidie ktk hili.
Nahitaji kwenda Zanzibar weekend hii kubadili upepo ila hii ni mara yangu ya kwanza kwenda Zanzibar.

Nahitaji kujua yafuatayo;
Kubook bot za asubuhi nipo Sinza
Kujua sehemu ambazo ni nzuri kuenjoy na family
Sehemu isiyokuwa na msongamano ukizingatia kesho ni mapinduzi day
Gharama za Azam express boat
Gharama za hoteli za kati nk.

Nitashukuru sana kuyafahamu hayo yote na zaidi ya hapo.

Usisahau tu kubeba ' Wese ' la Kilainishi Mkuu.
 
Shukran sana I'm on the way to Zanzibar !
Happy Mapinduzi daaaay.
 
Back
Top Bottom