Teknologia imebadilika sana. Hivi karibuni. Kwa ukuaji wa teknologia siku hizi mwanamke anaweza kubebeshwa mimba kwa kuwekewa "embryos" yai la mwanamke mwingine na mwanaume ambalo lime stawishwa kwa kiswahili changu kibaya. Sasa Mbebeji wa mimba anakuwa hana DNA yeyote zaidi ya kwamba yeye ni mbebaji tu wa mimba NDA zote zinakuwa za watu wengine wawili.
Sasa ni lazima kuwe na sheria za nchi kuendana na hili kabla ya mtu kupandikiza na kushutukia sheria za nchi hazitambui haya.
Kenya najua tayari wana sheria ya hili swali langu Je kuna mtu anajua sheria za Tanzania zikoje kwenye hili. Mjue tu mkataba wa ubebeji mimba ni binafsi baina ya watu lakini sheria za nchi zikoje?
Zinaruhusu hili. Kuna watu wengi wameoana lakini mke hawezi kubeba mimba kwasababu tofauti tofauti.