Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wewe utulie nyumbani uchambue mabawa ya senene.Maandamano na wewe wapi na wapi?Tulizana kama kasuku huku unachungulia dirishani.Maandamano waachie wabishi.Matoke tutakula na hatuvimbiwi.
Nyie na akina Slaa mlifanya tukapigwa mabomu kule Arusha baadae mkaenda CCM mkapiga hela, mkatuacha na umasikini wetu.
Saa hizi tena mnataka tuandamane, hivi mnatuchukuliaje kwanza?
Mnatuona hatuna akili eti?