Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wewe utulie nyumbani uchambue mabawa ya senene.Maandamano na wewe wapi na wapi?Tulizana kama kasuku huku unachungulia dirishani.Maandamano waachie wabishi.Matoke tutakula na hatuvimbiwi.
Nyie na akina Slaa mlifanya tukapigwa mabomu kule Arusha baadae mkaenda CCM mkapiga hela, mkatuacha na umasikini wetu.
Saa hizi tena mnataka tuandamane, hivi mnatuchukuliaje kwanza?
Mnatuona hatuna akili eti?
Nani mjinga sasa, mnaetaka akaandamane au? Kweli akienda kuandamana atakuwa ni mjinga.tuna andamana tuna kila kitu dhahabu,ziwa lakini wewe bado ni mjinga na subiri simu yako ikwishe chaji ujue umeme uanatoka chooni
SeenHuna mchango kwa Taifa...hapo kwa shemeji ni kujamba tu...
Inua mikono yote juu tamka wewe ni KLAZA! hapo ulipo umeme unapatikana wakati wote?Maandamano DSM ilikuwa hususani kupinga miswada ya sheria ya uchaguzi kuendelea bungeni lakini iliendelea.
Mwanza CHADEMA 15/2/2024 tunaandama kwa lipi?
Maandamano DSM ilikuwa hususani kupinga miswada ya sheria ya uchaguzi kuendelea bungeni lakini iliendelea.
Mwanza CHADEMA 15/2/2024 tunaandama kwa lipi?
Upewe majibu ww kama nani?Yaani sipewi sababu zaidi ya matusi ,nchi hii ina wananchi wajinga sana
Matoke tutakula na hatuvimbiwi.
Nyie na akina Slaa mlifanya tukapigwa mabomu kule Arusha baadae mkaenda CCM mkapiga hela, mkatuacha na umasikini wetu.
Saa hizi tena mnataka tuandamane, hivi mnatuchukuliaje kwanza?
Mnatuona hatuna akili eti?
Kuna bilioni zaidi ya tatu za ruzuku zimepokelewa na CDM, inabidi zitumike, na risiti zipatikane, na wanachama waone.Maandamano DSM ilikuwa hususani kupinga miswada ya sheria ya uchaguzi kuendelea bungeni lakini iliendelea.
Mwanza CHADEMA 15/2/2024 tunaandama kwa lipi?
Miswada BATILI iliyopitishwa na bunge, Bado haijasainiwa na Rais kuwa SHERIA,Maandamano DSM ilikuwa hususani kupinga miswada ya sheria ya uchaguzi kuendelea bungeni lakini iliendelea.
Mwanza CHADEMA 15/2/2024 tunaandama kwa lipi?
Maandamano DSM ilikuwa hususani kupinga miswada ya sheria ya uchaguzi kuendelea bungeni lakini iliendelea.
Mwanza CHADEMA 15/2/2024 tunaandama kwa lipi?
Ni ya kukikipa uhai chama ili mwakani tulambe tena ruzukuHii sio hoja. Otherwise ni maandamano ya kupotezea watu muda.
😆😆😆Kuna bilioni zaidi ya tatu za ruzuku zimepokelewa na CDM, inabidi zitumike, na risiti zipatikane, na wanachama waone.
Maana watu washaanza kusema lile ghorofa la Machame, lazima tuwageuza tuwaambie zilitumika kwa maandamano
SawaMfumuko wa bei za vyakula, lakini pia katiba mpya ni muhimu na hiyo miswada iliyopita bungeni ni kutuzarau wananchi....
Sijui nani alaumiwe lakini nafikiri ni serikali imeshindwa kusimamia sera zake” sukari kilo ni 5500, vitunguu kilo buku5 kwa speed hii si kuna ndugu zetu watashindwa kula aise?
Bado hauwoni umuhimu wakuandamana? Lengo ni kuwafanya wastuke hao viongozi maana wamejisahau na wametusahau wananchi wao.....
Kujisaidia vichakani kumezidi kanda ya ziwa tunataka tufundishwe kutumia vyoo. Karibuni Mwanza CHADEMA!Maandamano DSM ilikuwa hususani kupinga miswada ya sheria ya uchaguzi kuendelea bungeni lakini iliendelea.
Mwanza CHADEMA 15/2/2024 tunaandama kwa lipi?
SawaKujisaidia vichakani kumezidi kanda ya ziwa tunataka tufundishwe kutumia vyoo. Karibuni Mwanza CHADEMA!
Maandamano DSM ilikuwa hususani kupinga miswada ya sheria ya uchaguzi kuendelea bungeni lakini iliendelea.
Mwanza CHADEMA 15/2/2024 tunaandama kwa lipi?
Sawa mkuuKama mpaka sasa hujui bora usiende .... Maana akili yako haipo kwenye hiyo level ya maandamano!!