Anayejua software ya ku-type kwa kuongea

Watanzania wavivu sana,

Acha hiyo kazi aje kufanya mwingine ambae hataona kazi kufanya kazi

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Mkuu ukiona unatumia nguvu sana kufanya kitu basi ujue huna akili unatumia nguvu badala ya kichwa. There is always an easy way of doing things. Kutype kwa kuongea inawezekana sema lafudhi inabidi iwe nzuri na kwa Kiswahili ni ngumu, may be kingereza, kifaransa, nna lugha nyingine za kimataifa.

Kuna mzungu flani alikuwa anastaajabu jinsi vijana flani ofisi flani walivyokuwa wanahangaika kupandisha mapipa yenye mafuta kwenye gari wakati kulikuwa kuna uwezekano wa kuya viringisha kwenye gari wakawekaubao mpaka yakaingia ndani.
Akawa anacheka anasema "These people are working hard in their own way."
 
Hayo ma docs yamechapwa au yameandikwa kwa mkono. Kama yamechapwa na mashine tumia maelezo comment #16 kama hujaelewa tuambie tukuelekeze
 
Hayo ma docs yamechapwa au yameandikwa kwa mkono. Kama yamechapwa na mashine tumia maelezo comment #16 kama hujaelewa tuambie tukuelekeze
yameandikwa sema thank nimefanikiwa
 
kwa mwenye kazi za kutranscript (maneno ya kiswahili kuja ktk maandishi) ani PM tuyajenge
 
Google Docs na Microsoft word lates zote zinakubali sema shida zinakubali kwa lugha kama kingereza na kifaransa na uwe na tone ya kueleweka siyo unatamka maneno kwa kuyakosea utadhani unatamka lugha yako ya asili
 
Natumia Google Docs iko poa sana saivi nachukua kazi za kutosha
 
Kwanini usitumie OCR software yoyote badala ya kuongea? Scan hayo makaratasi yatageuka kuwa maandishi, then wewe malizia kwa kufanya format za hapa na pale.
OCR software ndio zipi hizo mkuu?naomba ufafanuzi
 
OCR software ndio zipi hizo mkuu?naomba ufafanuzi
Ocr ni kifupi cha Optical character recognition, ni software zinazoweza kutambua maandishi toka kwenye picha.

Zipo professional soft zinafanya hii kazi na zipo software za kawaida kama one note incase kazi yako ni ndogo.
 
Ok,Je hizi software zinafanya kazi kwenye PC tu au hata simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…