Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Mkuu ukiona unatumia nguvu sana kufanya kitu basi ujue huna akili unatumia nguvu badala ya kichwa. There is always an easy way of doing things. Kutype kwa kuongea inawezekana sema lafudhi inabidi iwe nzuri na kwa Kiswahili ni ngumu, may be kingereza, kifaransa, nna lugha nyingine za kimataifa.Watanzania wavivu sana,
Acha hiyo kazi aje kufanya mwingine ambae hataona kazi kufanya kazi
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Kuna mzungu flani alikuwa anastaajabu jinsi vijana flani ofisi flani walivyokuwa wanahangaika kupandisha mapipa yenye mafuta kwenye gari wakati kulikuwa kuna uwezekano wa kuya viringisha kwenye gari wakawekaubao mpaka yakaingia ndani.
Akawa anacheka anasema "These people are working hard in their own way."