Kwa barabara zetu mkuu hakuna namna, kuna some unnoticeable imbalance ya gari ambayo mtu kuigundua ni kazi sana sababu magari ya kileo wanatuwekea vehicle stability sensors,abs sensors nk ili kuibalance gari kwenye mwendo,breaking,corners na mabonde.
Halafu ndugu yangu kwa barabara zetu hizi za kibongo japo ni lami haziwezi kukufanya urelax kwenye sterling hata kidogo sababu zina mawimbi ya kufa mtu utadhani uko offroad, pia lami zimebonyea kiasi cha kuvuta upande fulani wa barabara which means balance ya gari inakua ni shughuli kidogo.
Tembea mwendo wako wa kawaida kama una wasiwasi na balance ila kwa mie natembea hata speed 180 ikiwa na Spenser hizo za nchi moja.
Inashauriwa usizidi nchi moja kama unapandisha ili hizi sensors za umeme zisi malfunction. Coz ukizidi hapo lazima gari ikose balance mkuu.
Ila kwa wenzetu walioendelea huwa wanaweka shock absorbers ndefu na coil spring ndefu kunyanyua gari, sasa hiyo method kwetu ni too expensive.