stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Watake radhi wanaume wenye IST tafadhali....Corolla bora zaidi
Maana hivi vi IST baadhi ya njia vigari hivi vinasumbua saana,havipendi shida kama Corolla ambazo ni imara kwa shurba,pia Corolla nafasi kubwa pale kati kwenye miguu na ndani kote kwa ujumla,so ventilation ni kubwa saana kuliko IST
IST = Gari ya Kike
Corolla Axio = gari ya Kiume
Sasa jitathmini,mtanisamehe saana watani zangu wenye IST,ila ukweli utabakia kuwa ukweli,dume kwenye IST aisee haielekei kabisaaa.