Lucas Mganda
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 250
- 178
HeheheCorolla bora zaidi
Maana hivi vi IST baadhi ya njia vigari hivi vinasumbua saana,havipendi shida kama Corolla ambazo ni imara kwa shurba,pia Corolla nafasi kubwa pale kati kwenye miguu na ndani kote kwa ujumla,so ventilation ni kubwa saana kuliko IST
IST = Gari ya Kike
Corolla Axio = gari ya Kiume
Sasa jitathmini,mtanisamehe saana watani zangu wenye IST,ila ukweli utabakia kuwa ukweli,dume kwenye IST aisee haielekei kabisaaa.
Nyie ndo mnaokofa kwa misifa.. Gari sio luxury inategemea unaitumia kwa ishu gani. Unakuta mtu anataka sifa awe na Prado kumbe uwezo wa kuihudumia hana,unakuta mshahara wote unaishia kwenye gari lakini anachotaka washkaji mademu wamsifie ana Prado. Hizo ni sifa za kijinga.Corolla bora zaidi
Maana hivi vi IST baadhi ya njia vigari hivi vinasumbua saana,havipendi shida kama Corolla ambazo ni imara kwa shurba,pia Corolla nafasi kubwa pale kati kwenye miguu na ndani kote kwa ujumla,so ventilation ni kubwa saana kuliko IST
IST = Gari ya Kike
Corolla Axio = gari ya Kiume
Sasa jitathmini,mtanisamehe saana watani zangu wenye IST,ila ukweli utabakia kuwa ukweli,dume kwenye IST aisee haielekei kabisaaa.
Mkuu nikweli kua ist hail mafuta lakin ukweli bado haifai kwa kidume tena ndo uwe na kitambi duh.ila kama nimafta nimetumia magar mengi ila sijaiona kama tata indica nishida naeka mafuta ya elfu 30 nafanya misele yangu mpaka nasahau ninakieka full tank miez miwili sijui shely namisele ya kutosha.japo spea nimpaka brach ila pia ni vigumu sana nilikinunua exim laki sita kilipaki miaka mitatu kibovu nikakifanyia marekebisho na kulipia kila kitu kikafika milion 3,5 ila hata nikipewa tano sikitoiMkuu IST iko vizuri...Haili mafuta,iko imara,ina nafasi. Iko juu kidogo. IST ni gari nzuri.
Corola nayo iko vizuri pia.
Mkuu inategemea matumizi yako,unataka uitumie wapi??
Mkuu hebu funguka... Hizo spenser ikiwa zitafungwa haziwezi kuathiri balance ya gari barabarani, haiwezi kuathiri speed ya gari kweli mana walipoamua kuliweka chini chini wanasababu yao???Nashindwa kukushauri kabisa kwa sababu hizo gari zote mbili zina sifa kama ifatavyo
Utofauti naouona ambao unaweza ukakufanya uchumkue maamuzi ni kwamba
- Carring capacity ya pasenger ni sawa yani 4passengers
- Engine unayopata kwenye IST pia kwenye hiyo corolla unapa yani 2NZ cc1290 au 1NZ cc1497 hapa ina maana matumizi ya mafuta gari hizi mbili yanafanana hakuna anayemzidi mwenzake.
- Zote zinaweza kufungwa spensers zikapanda juu na kutembea kwenye barabara mbovu
- Zote ni ngumu.
GOODLUCK
- IST ni hatchback yani haina buti nyuma ukiweka bidhaa zako nyuma huko zinaonekana na abiria wa siti ya kati na pia kama bidhaa ina harufu ni rahisi kuchafua hali ya hewa pia kwenye mzigo hakuna usiri
- Corolla ni sedan yani ina buti ya kufungua nyuma ukaweka unachitaka na ukalock vilele na mtu asione kilichopo nyuma huko.
Mkuu hebu funguka... Hizo spenser ikiwa zitafungwa haziwezi kuathiri balance ya gari barabarani, haiwezi kuathiri speed ya gari kweli mana walipoamua kuliweka chini chini wanasababu yao???
Imekaaje hapo.
Mkuu maelezo yako yamekaa poa sana, nimekuelewa... Please tuwekee na picha mfano wa hiyo spenser ya nchi moja iliyokwisha fungwa kwenye gari yako...Kwa barabara zetu mkuu hakuna namna, kuna some unnoticeable imbalance ya gari ambayo mtu kuigundua ni kazi sana sababu magari ya kileo wanatuwekea vehicle stability sensors,abs sensors nk ili kuibalance gari kwenye mwendo,breaking,corners na mabonde.
Halafu ndugu yangu kwa barabara zetu hizi za kibongo japo ni lami haziwezi kukufanya urelax kwenye sterling hata kidogo sababu zina mawimbi ya kufa mtu utadhani uko offroad, pia lami zimebonyea kiasi cha kuvuta upande fulani wa barabara which means balance ya gari inakua ni shughuli kidogo.
Tembea mwendo wako wa kawaida kama una wasiwasi na balance ila kwa mie natembea hata speed 180 ikiwa na Spenser hizo za nchi moja.
Inashauriwa usizidi nchi moja kama unapandisha ili hizi sensors za umeme zisi malfunction. Coz ukizidi hapo lazima gari ikose balance mkuu.
Ila kwa wenzetu walioendelea huwa wanaweka shock absorbers ndefu na coil spring ndefu kunyanyua gari, sasa hiyo method kwetu ni too expensive.
Nashindwa kukushauri kabisa kwa sababu hizo gari zote mbili zina sifa kama ifatavyo
Utofauti naouona ambao unaweza ukakufanya uchumkue maamuzi ni kwamba
- Carring capacity ya pasenger ni sawa yani 4passengers
- Engine unayopata kwenye IST pia kwenye hiyo corolla unapa yani 2NZ cc1290 au 1NZ cc1497 hapa ina maana matumizi ya mafuta gari hizi mbili yanafanana hakuna anayemzidi mwenzake.
- Zote zinaweza kufungwa spensers zikapanda juu na kutembea kwenye barabara mbovu
- Zote ni ngumu.
GOODLUCK
- IST ni hatchback yani haina buti nyuma ukiweka bidhaa zako nyuma huko zinaonekana na abiria wa siti ya kati na pia kama bidhaa ina harufu ni rahisi kuchafua hali ya hewa pia kwenye mzigo hakuna usiri
- Corolla ni sedan yani ina buti ya kufungua nyuma ukaweka unachitaka na ukalock vilele na mtu asione kilichopo nyuma huko.
Watu wengi hamzijui corolla axio ndio maana mnazifananisha na IST. Hakuna corolla axio zenye cc 1290. Corolla axio zina cc kuanzia 1496 na 1790. IST labda iwe ya kuanzia 2007 lakin corolla axio ni gari za kuanzia mwaka 2006 mfumo wake wa engine ni tofauti kabisa na IST. Maana IST ni 4AT wakati Axio ni CVT engine ikiwa na gear hadi 7. Naomba niishie hapa kwanza
Tatizo lako una mbwembwe sana kuliko kutoa elimu watu wafahamu uliyonayo kichwani.
We mwenyewe huzijui hizo Corolla Axio, Kwa taarifa yako wana engine ya 1NR-FE cc 1329 yani 1.3. Ulichotakiwa ilikua ni kurekebisha kwamba haitumii engine ya 2NZ 1.3 basi sio dharau ati watu watu hawajui corolla axio.
Huyu mtu hajakupa limitation ya mwaka au budget so anaweza kuchukua hata ya 2013it depends na upendeleo wake.
As u said IST kuanzia 2006 wanatumia engine za 1NZ-FE with CVT transmision same engine ambayo hata corolla axio wanatumia. Mbona tena unarudi na kulimit kwamba IST ni 4AT wakati pia zipo za CVT?
Kama ungekua muungwana zaidi ungemwambia kwenye corolla axio pia anaweza kupata gari yenye features za sports car equiped with 7gears transmission and 1.8s Engine ili umrahisishie katika kuchagua gari atakalopenda.
Next time uwe na adabu na uishie hapo hapo.
We jamaa vipi? Nimekuambia hapo IST labda iwe ya kuanzia 2007 urban cruiser, ila IST za mwaka 2006-kushuka chini ni 4AT. Sapovu la nini? Wewe uliyetoa maelezo mwanzo ndo ulitakiwa umueleze haya yote hata kwenye swali lake la fuel consumption na tofauti kati ya CVT engine with 7 gears na 4AT