Anayejua tafadhali: Toyota corolla Axio Vs Toyota IST

Watake radhi wanaume wenye IST tafadhali....
 

sasa mara unaniambia sijui, mara unaniambia nimuelimishe, hata wewe ikibidi hivyo huzijui axio kwa maana mwanzo ulisema zina cc 1290 while zina cc 1320 sasa haina haja kulumbana walimishe watu kuhusu mfumo huu mpya wa engine mm kwa sasa natumia corolla axio kwa hiyo najua tofauti ua engine hii na zile 4AT. ila ziko poa sana katika nyanja tofauti hata ulaji wa mafuta.
 

Okey Nice one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…