NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 591
Wote walio illegible wan chance sawa ya kuchaguliwa haijalishi kama wameweka first choice au last choice, mfano mtu anaweza kua kaweka MD Muhimbili ya tatu lakini kafauru kwa kiwango cha kuridhisha na katika machaguo yake mawiki ya mwanzo amekosa akiletwa katika chaguo la tatu na ana nafasi sawa na wale walioweka nafasi ya kwanza