Anayejua thamani ya vilabu vya Simba na Yanga

Anayejua thamani ya vilabu vya Simba na Yanga

PintoG

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2017
Posts
612
Reaction score
732
Imekuwa ikiendelea michakato ya kubadili mifumo ya uendeshaji vilabu vyetu hapa inchini,ambalo ni jambo jema sana na la kuungwa mkono.
simba wamefanikiwa kufikia hatua za mwisho kwa zoezi hilo huku yanga wakianza pia.
Lakini najiuliza swali, nani ajuaye thamani ya vilabu hivi ?
kwa vilabu vya ulaya na hata africa ya kusini ,magharibi na kaskazin ,club nyingi zinajulikana thaman yake.
nilitegemea simba kabla ya kuhitimisha kwa kumtangaza mshindi wa zabuni, wangekuwa wameshafanya utaratibu wa kutangaz tenda na kuippa kampuni ikatahimini kwanza thamani ya simba kabla ya kumtangaz mzabuni, ili anapochukua awe anajua thamani halisi ya timu.
Funzo kwa yanga,wanapaswa kutathimin thamani ya timu ,hii itawapa power wakati wa kunegotiate mikataba ya kimatangazo na mingine ya kibiashara kupitia wadhamini.
 
umeongea la maana mchakato wa simba uliendeshwa kihuni kwanza aliyetaka kununua hisa ndio akatangaza dau, pili akaanza kuwakopesha pesa halafu wakati huohuo viongozi wakawa wanatangaza wanatafuta watu wa kuingia naye ushindani ni vizuri Yanga wasirudie makosa yaliyofanywa na Simba ili watu wazibuke akili waone walivyoibiwa kwani kawaida kabla ya timu kuuzwa ilitakiwa ifanyiwe tathimini ya thamani yake kwanza
 
Back
Top Bottom