Anayejua ubora wa smartphone za Kingkong

kyakakombo

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
38
Reaction score
35
Wakubwa naomba kwa mwenye uzoefu na hii simu anipe ABC nimeikuta sehemu nimependa tu ukubwa wa betri ila mambo mengine sijajua naomba kwa ambaye ameshatumia au anatumia anipe ubota/udhaifu wake
 
Nimeikumbuka my OKING 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hizi simu nyingine ni balaa tupu...simu yenyewe ina jina la muvi aisee.....
 
Wakubwa naomba kwa mwenye uzoefu na hii simu anipe ABC nimeikuta sehemu nimependa tu ukubwa wa betri ila mambo mengine sijajua naomba kwa ambaye ameshatumia au anatumia anipe ubota/udhaifu wake
Nimecheki bei yake ghali kwelo.
Betri ni 10,600 duuh
 
Back
Top Bottom