Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Nimekuwa nikiskia kuandamana ni haki ya kikatiba.
Lakini duniani kote kuandamana ni ugomvi wa wazi kati ya serkali na waandamanaji kias kwamba ni kama uasi. Hadi kutangaziana ubabe.
Mtaalam wa sheria na siasa za uongozi na utawala anisaidie kujua dhana ya kuandamana ni wakati gani inakuwa haki, au jinai au uasi?