Anayekopesha Samsung S25 Ultra, non active, isiyozidi 3m. Aje inbox. Downpayment 1m. Iliyobakia 500K kila mwezi. Uhakika. Narudia tena Uhakika.

Anayekopesha Samsung S25 Ultra, non active, isiyozidi 3m. Aje inbox. Downpayment 1m. Iliyobakia 500K kila mwezi. Uhakika. Narudia tena Uhakika.

Utaweka Bondi nini?
Elewa neno nlilotumia Uhakika. Hamna Ubabaishaji. Sio kwamba nashindwa kuichukua yote at Per. Ila nimeona nijiwekee utaratibu huo. Hata hivyo mialiko nmekwisha pokea zaidi ya mi4 niwahi niende kuchukua.
 
Back
Top Bottom