Anayekumbuka jina la Movie hii ya Simba

Anayekumbuka jina la Movie hii ya Simba

Wana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
Jaribu hata kueleza mazingira ya ilivyokuwa, unaweza ukafanikiwa. Binafsi nimeangalia Movie nyingi sana kuanzia American, Indian, Arabian, Nigerian isipokuwa Bongo movie tu.
 
Wana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
Hiyo muvi hata mimi naikumbuka ipo nyingine ya nyani wenye njaa na hiyo ya simbanadhani ni miaka ya chini ya 94 huko
 
Hiyo movie nadhani ndio iliyochezwa Kenya, simba walitampaka nnje ya nyumba. wanafamilia ili kukimbia walitengeneza kitu kama kibanda ama kichanja kwa kuunganisha meza na viti, wakaanza kuburuza toka ndani kuelekea ili gari, wengine wakiwasha miali ya moto.
 
Wana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
TSAVO
 
Back
Top Bottom