new forest
Member
- Mar 28, 2024
- 35
- 97
Ilichezwa Kenya 🇰🇪Wana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
PreyWana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
Jaribu hata kueleza mazingira ya ilivyokuwa, unaweza ukafanikiwa. Binafsi nimeangalia Movie nyingi sana kuanzia American, Indian, Arabian, Nigerian isipokuwa Bongo movie tu.Wana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
Wana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
Hiyo muvi hata mimi naikumbuka ipo nyingine ya nyani wenye njaa na hiyo ya simbanadhani ni miaka ya chini ya 94 hukoWana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
Jina la filamu hii silijui vizuri ila inahusu wale Simba wa Tsavo.Ni ile wanatengeneza reli harafu simba ndo anakuja kambini kuwatafuna ama sio hiyo kama hiyo subiri nilisake jina
Jibu ni hiliPrey
Kama sikosei ni " Simba wa Tsavo"Wana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
SAVAGE GARDEN.Wana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
TSAVOWana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
Sio Savage harvest kweli?SAVAGE GARDEN.
ILIPIGWA NCHINI KENYA.