Anayekupenda ni huyu hapa katika Maisha yako

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Naona watu dhana ya upendo inawasumbua nadhani sababu ni uhaba wa maarifa.

Elewa na fahamu kuwa MTU anyekupenda ni mtu yeyote asiyekutakia mabaya .

Kina dada wanalia sana kisa hawaelewi philosophy

MTU anaweza kukupa kila kitu kizuri kwa lengo la kukutumia na mwisho kuua focus yako.

Elewa kuwa MTU anayekupenda kweli, kweli ni yule asiyekuwazia mabaya.

Nadhani hii falsafa imeeleweka
 
Kina dada wanalia Sana kisa hawaelewi philosophy

Kina dada wanalia
Kina dada wanalia Sana kisa hawaelewi philosophy
Sijaelewa bado
 
Wewe ni Dr kweli au ? 😂😂😂😂
Mbona chapisho lako linaelea elea tu ?
 
Yesu Kristo pekee labda na mama yako mzee pekee Hawa ndio wenye upendo wa kweli maana walikupenda ungali uchi tumboni huna kitu.
Waliobakia wote uangalia material kipi wanafaidika toka kwako
 
Naona watu dhana ya upendo inawasumbua nadhani sababu ni uhaba wa maarifa.

Elewa na fahamu kuwa MTU anyekupenda ni mtu yeyote asiyekutakia mabaya .

Kina dada wanalia sana kisa hawaelewi philosophy

MTU anaweza kukupa kila kitu kizuri kwa lengo la kukutumia na mwisho kuua focus yako.

Elewa kuwa MTU anayekupenda kweli, kweli ni yule asiyekuwazia mabaya.

Nadhani hii falsafa imeeleweka
Kwa humo kwenye mawazo Yake yaani unayajua?
 
Unajuaje mtu hakuwazii mabaya Dr?

Sometimes good treatments ndio upendo wenyewe huo. Sidhani kama kuna mtu anakosea kumpenda anayemtreat vizuri, ndio umeipa jina “kukupa kila kitu”.

However it goes beyond that, jicho la rohoni na akili vinahitajika katika kulitambua hilo.

Ila ndio msiniambie kuwa mtu anaweza kukutreat vibaya na akawa anakupenda heheh!
 
Alhamdulillah kaka mzuri wangu ananitakia mema, anataka niwe bora kwa kuniongoza vyema.
Nimebahatika.
hongera sana, nimeona mara nyingi sana unamzungumzia kwa wema , naamini ni mwema kweli.
naomba asikutane na sababu ya kumbadilisha ingawa kwa ujumla binadamu tunabadilika kulingana na wakati na mazingira ila kwenu nawatakieni kuwa hivyo mpaka kilele cha mafanikio, hata ikija iliyo kinyume lakini endelea kuwa mwenye furaha maana hio ndio mantiki ya maisha.
 
Umeniambia yenye maana kubwa sana kwangu, Asante.
 
Back
Top Bottom