Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
kuna siku palikuwa na uzi unawazungumzia wanawake wa jf wenye mchango positive, i'd yako ilitajwa mara nyingi sana , sikuwa nimeizingatia hapo awali ila tokea siku hio kila post ya binti kiziwi ninaisoma mara mbili mbili ! nimedhibitisha na kuamini, hongera sana mkuu, zidi kuwa ulivyo.Unajuaje mtu hakuwazii mabaya Dr?
Sometimes good treatments ndio upendo wenyewe huo. Sidhani kama kuna mtu anakosea kumpenda anayemtreat vizuri, ndio umeipa jina “kukupa kila kitu”.
However it goes beyond that, jicho la rohoni na akili vinahitajika katika kulitambua hilo.
Ila ndio msiniambie kuwa mtu anaweza kukutreat vibaya na akawa anakupenda heheh!