DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Naona watu dhana ya upendo inawasumbua nadhani sababu ni uhaba wa maarifa.
Elewa na fahamu kuwa MTU anyekupenda ni mtu yeyote asiyekutakia mabaya .
Kina dada wanalia Sana kisa hawaelewi philosophy
MTU anaweza kukupa kila kitu kizuri kwa lengo la kukutumia na mwisho kuua focus yako.
Elewa kuwa MTU anayekupenda kweli, kweli ni yule asiyekuwazia mabaya.
Nadhani hii falsafa imeeleweka
Kina dada wanalia
Sijaelewa badoKina dada wanalia Sana kisa hawaelewi philosophy
Wewe ni Dr kweli au ? 😂😂😂😂Naona watu dhana ya upendo inawasumbua nadhani sababu ni uhaba wa maarifa.
Elewa na fahamu kuwa MTU anyekupenda ni mtu yeyote asiyekutakia mabaya .
Kina dada wanalia Sana kisa hawaelewi philosophy
MTU anaweza kukupa kila kitu kizuri kwa lengo la kukutumia na mwisho kuua focus yako.
Elewa kuwa MTU anayekupenda kweli, kweli ni yule asiyekuwazia mabaya.
Nadhani hii falsafa imeeleweka
Sababu no woman no cry.Nyie kila siku kina dada..
Jmn., niseme kwa niaba tumewachokaaa
Na bado hujasema🤣🤣🤣Nyie kila siku kina dada..
Jmn., niseme kwa niaba tumewachokaaa
Kwa humo kwenye mawazo Yake yaani unayajua?Naona watu dhana ya upendo inawasumbua nadhani sababu ni uhaba wa maarifa.
Elewa na fahamu kuwa MTU anyekupenda ni mtu yeyote asiyekutakia mabaya .
Kina dada wanalia sana kisa hawaelewi philosophy
MTU anaweza kukupa kila kitu kizuri kwa lengo la kukutumia na mwisho kuua focus yako.
Elewa kuwa MTU anayekupenda kweli, kweli ni yule asiyekuwazia mabaya.
Nadhani hii falsafa imeeleweka
Sidhani kama hiyo ndo maana ya no woman no cry mkuu.Sababu no woman no cry.
Bila wanawake shida zisingekuwepo duniani.
Mwanamke ndie bidhaa yenye gharama kuliko zote duniani na wanaume wote uhangaika ili kuwaridhisha wanawake
Alesema tunalia sana afafanue kivip..Sababu no woman no cry.
Bila wanawake shida zisingekuwepo duniani.
Mwanamke ndie bidhaa yenye gharama kuliko zote duniani na wanaume wote uhangaika ili kuwaridhisha wanawake
Hili ni zaidi ya kuelea..Wewe ni Dr kweli au ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona chapisho lako linaelea elea tu ?
hongera sana, nimeona mara nyingi sana unamzungumzia kwa wema , naamini ni mwema kweli.Alhamdulillah kaka mzuri wangu ananitakia mema, anataka niwe bora kwa kuniongoza vyema.
Nimebahatika.
Umeniambia yenye maana kubwa sana kwangu, Asante.hongera sana, nimeona mara nyingi sana unamzungumzia kwa wema , naamini ni mwema kweli.
naomba asikutane na sababu ya kumbadilisha ingawa kwa ujumla binadamu tunabadilika kulingana na wakati na mazingira ila kwenu nawatakieni kuwa hivyo mpaka kilele cha mafanikio, hata ikija iliyo kinyume lakini endelea kuwa mwenye furaha maana hio ndio mantiki ya maisha.