Anayekupenda ni huyu hapa katika Maisha yako

kuna siku palikuwa na uzi unawazungumzia wanawake wa jf wenye mchango positive, i'd yako ilitajwa mara nyingi sana , sikuwa nimeizingatia hapo awali ila tokea siku hio kila post ya binti kiziwi ninaisoma mara mbili mbili ! nimedhibitisha na kuamini, hongera sana mkuu, zidi kuwa ulivyo.
 


Dhamiri ya MTU sio rahisi kuijua

Ni muhimu Sana kuwa na intuition kubwa ya kukuongoza kujua dhamiri ya MTU yeyote kwako.

Ikiwa ur conscience is clear doesn't matter MTU yupo broke or financial stable hatoweza kukudhuru negatively.

Hivyo wanaotupenda Mara nyingi hatuwajui na tunaowapenda haswa hawajui.

Umasikini umefanya kutengeneza kundi kubwa la watu kutoelewa dhana ya UPENDO

MTU kutoa kitu pasipo kuwaza kupewa kitu na huyo aliyempa huo ndo utoaji sahihi.

Kum-treat MTU vzr ni jambo zuri ikiwa haujalenga kujipatia faida kutoka kwa huyo MTU unayemtreat vizuri.

As well Ku-treat MTU vibaya maana yake wewe hauja-qualify kutoa UPENDO

So inahitaji umakini kuelewa haya mambo

Nahitimisha kwakusema anayekupenda haswa ni yule MTU ambaye hakuwazii mabaya.
 
[emoji16][emoji16] ety uache mtu anae kutreat vizuri uende kwa bad boys & dreamers. Enjoy the moment, mipango sio matumizi n shit always happen
 
Huyu ndio binti kiziwi
 
Deo anakwambia mtu anaweza kuwa na upendo na wew lakini sio mzuri kwenye kukuonesha mapenzi na kuna mtu ni mzuri kwenye kukuonesha mapenzi lakini hana upendo na wew
 
[emoji16][emoji16] ety uache mtu anae kutreat vizuri uende kwa bad boys & dreamers. Enjoy the moment, mipango sio matumizi n shit always happen
Si ndiooo? 🤣

Unless huna uwezo wa kupata hao wanaokutreat vizuri ndio utang’ang’ana na dreamers halafu uje ulalamike umepotezewa muda.

Maisha ni sasa!
 
Depal Pitia usome hapa🤪
 
🤍🤍🤍 asante Mkuu.
 
Yani wahuni wakitaka lao afu ni la uharibifu wanajitoa Kwa gharama zozote zile il mladi mlengwa usijue kinachoendelea zaidi ya kuona ni UPENDO tu.

Majibu ya kweli utayaelewa baadaye huko baada ya wahuni kutimiza yakwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…