Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
wakuu huyo Genius kamaliza mwaka wake wa kwanza hapo CoET civil eng. na anatufundisha kwa muda Adv Maths hapa azania(Yupo vizur mno kwny hili somo) , ila ana tabia ya kujisifia sifia mfano kaweka historia hapo UDSM kutokana na moja ya performance yake na mengine mingi, je ni kweli huyu jamaa ni genius kama tunavyoamini au anatudanganya tu!
Kagundua nini?

yeah ndio mmkweli wewe ni battery low!
nijisifie ili iweje? kwa faida ganiAkiwa Genius au Hasipokuwa genius wewe inakuathiri nini? kama kujisifia na wewe jisifie ili muwe droooo.
kwanini mkuuKatika majini mtoe....muweke kwenye mashetanius...
hamna bro nataka tu kujua kama ni kweli ninavyoamini au anatuchukua tu!Fuata kilichokuleta sio kufuatilia maisha ya mtu
Hamna nipo 5.Itakuwa umenichanganya na mtuwe battery low c umemaliza form6
Hamna nipo 5.Itakuwa umenichanganya na mtu
ndiyo mkuuNi jamaa mrefu mrefu?