Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
wakuu huyo Genius kamaliza mwaka wake wa kwanza hapo CoET civil eng. na anatufundisha kwa muda Adv Maths hapa azania(Yupo vizur mno kwny hili somo) , ila ana tabia ya kujisifia sifia mfano kaweka historia hapo UDSM kutokana na moja ya performance yake na mengine mingi, je ni kweli huyu jamaa ni genius kama tunavyoamini au anatudanganya tu!