Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Wachezaji 6 wa Singida akiwemo Joash Onyango, Duke Abuya, Marou Tchakei, Bruno, Rupia, abubakary Khomein wamejiunga Ihefu dirisha dogo linalofungwa kesho, hao ni wachezaji muhimu sana how possible ghafla unawahamishia Ihefu
Kuna mchezo gani unaendelea ndani ya timu hizo, ndio kusema Ihefu ss kuifunga Yanga ndio basi tena kwa sababu mwenye Singida ndio mmiliki, je timu hizi zikikutana ndio yale yale ya Mtibwa na Kagera Sugar? Itakuwaje Simba ikiinunua Coastal, Azam ikanunua timu nne kutakuwa na ligi kweli hapo?
Au wajanja wameangalia sheria zetu wameona zina mapungufu ngoja wa take advantage?