Gadiel Michael, Joash, Kyombo, Kakolanya, Ndemla, Kagele Wawa wote hawa walitoka 5imba kwenda SFG je tuhoji umiliki wa Simba na Singida FG?
Binafsi sijawahi kuona, Yanga ikiifunga Singida kiulaini mpaka tuseme Kuna namna.
Ila Simba na Coastal unaona kabisa mechi imechezwa kimchongo. Mwaka jana Saidoo alifunga goli 5 mechi moja kimchongo ilimradi awe top scorer.
Wafungaji wengi wa Simba, utakuta Coaster peke yake aliwapa goli kuanzia 3.
Lakini mashabiki wa Simba kwa kulalamika ni fire.
Mpaka Azam.ambayo buwa Yanga inatumika nguvu, ufundi, mbinu na ukubwa kuifunga huwa inaonesha Yanga kawanunua.
Simba mkishindwa kufunga timu, jipangeni siyo kutafuta lawama.
Sijawahi kusikia shabiki wa Yanga, akiwalaumu Simba kwa kuwanunua Ihefu ambao mara nyingi wanaifunga Yanga lakini Simba wanaifunga bila shida.
Simba wanalalamika mpaka wanakera.
Na sasa hivi baada ya AFCON, kina Sillah, Bajana, Feitoto, Akamiko, Kipre Jr wote wanarudiwana mechi na Simba.
Tusubiri mpigwe 5, kwa usajili wenu wa kina Baba car