Anayemjua Mohammed Ali wa Jicho Pevu

Anayemjua Mohammed Ali wa Jicho Pevu

Bahati mbaya sina hiyo clip, lakini Tanzania Editors Forum walikuwa wanachukua video tukio lote watakuwa nazo
Aaah!ila kiu yangu haijaisha kumfahamu Mo Ali,kama kuna mafunzo ya kijeshi alipitia.maana hata matukio ya kivita na hatari ankuwa frontline
 
Mohamede Ali amefatilia mengi sana ndani ya kenya na jitihada zake ni kujitowa zaidi hata kwa kifo.Alishawahi kufatilia kuuliwa kwa shekh Abdu roho na wenzie. Amehusika kufichuwa wasiolipa kodi bandari ya kenya. Amefichuwa tukio la uvamizi wa west gate na Nk• ila najiuliza ni uhuru wa habari aliokuwa nao au ni kujiamini na kuwapa wakenya taarifa sahihi • napenda sana jitihada zake sijui sisi tutawezaje kuyafanya haya
 
wanasema ni sudden death alikufa mwaka jana december 14! abubakar makaburi hatunaye naye alikula shaba kama rogo
Aliuliwa mazingira gani,nyumbani kwake au alikuwa targeted at a certain area apart from his home and Masjid?
 
Msomali yule jamaa halafu mfuasi wa odinga
 
ukiona hivyo ujue kenya wamestaarabika sana, jana uhuru kakashifiwa bungeni leo kamtumia kadi ya x-mas yule mama, kuna watu wana roho za tofauti sana
Kikubwa zaidi jamaa ni MSOMALI na si MSUKUMA
 
Huyu jamaa kuna siku alisha wahi kukimbia nchi kisa kutishiwa kuuwawa

alikimbilia kuomba hifadhi Malycia kama sikosei

Kinacho mpa kiburi ni KATIBA YA KENYA

Kamulizeni Jerry Muro alikuwa anafuatia nyayo za huyu jamaa lakini kilicho mpata Jerry hadi leo hataman hata uandishi wa habari

Moha anahela ya ajabu ana magari ya kifahari
 
Mohamed Ali alipigwa marufuku ya kutokanyanga ikulu ya kenya

Kuna siku waandishi wa habari walialikwa ikulu jamaa aliuliza swali moja tata hadi rais Moi Kibaki akataka kutoka mbio ikulu
 
pesa aitolee wap... njaaa kali yule km mim tu... sema mchapa kazi
 
Mohamed Ali alipigwa marufuku ya kutokanyanga ikulu ya kenya

Kuna siku waandishi wa habari walialikwa ikulu jamaa aliuliza swali moja tata hadi rais Moi Kibaki akataka kutoka mbio ikulu
Swali gani mkuu
 
Mohamede Ali amefatilia mengi sana ndani ya kenya na jitihada zake ni kujitowa zaidi hata kwa kifo.Alishawahi kufatilia kuuliwa kwa shekh Abdu roho na wenzie. Amehusika kufichuwa wasiolipa kodi bandari ya kenya. Amefichuwa tukio la uvamizi wa west gate na Nk• ila najiuliza ni uhuru wa habari aliokuwa nao au ni kujiamini na kuwapa wakenya taarifa sahihi • napenda sana jitihada zake sijui sisi tutawezaje kuyafanya haya
Yaani unawaza kama ninachokiwaza
 
Back
Top Bottom